mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Simba siku zote anaanza wengine wanaiga mfano Simba day wengine wanaiga siku ya wananchiSimba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live
Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo
Vipi wadau wa soka hapa nchini mmeuelewa?
Je maswali nkonki yanajibiwa?
Nawasilisha
Mugah M
Kuna Simba day na Yanga week. Ni tofauti.Simba siku zote anaanza wengine wanaiga mfano Simba day wengine wanaiga siku ya wananchi
imeanza ipiKuna Simba day na Yanga week. Ni tofauti.
imeanza ipi
Labda wananchi week chapa GSmimeanza ipi
Mkuu kumuelewesha mbumbumbu ni kazi sana, hhawezi jua hayo mambo yalianzishwa na Yanga tangu kitamboWeek inaanzia na day
Wazo la kampuni lilianza wapi?
Mtangazaji anasoma yaliyoandikwa na wanasimbaaAnaulizwa maswali na wapenzi wa simba au na mtangazaji aliyeandaliwa na simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba na yanga au simba na Yanga?Ni rahisi kuona tofauti ya Simba na yanga, tayari wachezaji wawili wa Simba washatoa msaada kwenye ugonjwa wa Corona Ajib na Kahata huku upande wa pili wachezaji wakihangaikia mishahara yao
Ni Simba na yangaSimba na yanga au simba na Yanga?
Can you note the difference?
Usijisahaulishe kwamba utoaji misaada na shughuli za kijamii umefanywa sana na matawi ya Yanga.
Ndiyo maana huwezi kumsikia poyoyo Haji akisema 5imba ni ya kwanza kwenye hili.
Get your facts in order !
Dharau au ndiyo shule kata ?Ni Simba na yanga
Anyway matawi ya yanga ila sio wachezaji wa yanga
Mfano wa hao wachezaji wa yangaDharau au ndiyo shule kata ?
Wachezaji wa Yanga wamefanya hayo for ages. Again, get your facts in order !
Mfano mdogo. Juma Abdul amefanya mara nyingi.Mfano wa hao wachezaji wa yanga
Coz SIMBA wanatajwa Ajibu na Kahata
Mbona mlivyoanzisha kuchapwa 5G ugenini tena back to back hakuna aliyeiga? Hujioni kama ni muongo wewe?Simba siku zote anaanza wengine wanaiga mfano Simba day wengine wanaiga siku ya wananchi
Ulikuwa hujazaliwa wakati raja wanawapiga sita, Simba wanawapiga tanoMbona mlivyoanzisha kuchapwa 5G ugenini tena back to back hakuna aliyeiga? Hujioni kama ni muongo wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwezi iga kufika group stage ni utani?Mbona mlivyoanzisha kuchapwa 5G ugenini tena back to back hakuna aliyeiga? Hujioni kama ni muongo wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app