Simba Sc:Chat na #

Simba Sc:Chat na #

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Simba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live
Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo

Vipi wadau wa soka hapa nchini mmeuelewa?
Je maswali nkonki yanajibiwa?

Nawasilisha
Mugah M
 
Simba siku zote anaanza wengine wanaiga mfano Simba day wengine wanaiga siku ya wananchi
 
Ni rahisi kuona tofauti ya Simba na yanga, tayari wachezaji wawili wa Simba washatoa msaada kwenye ugonjwa wa Corona Ajib na Kahata huku upande wa pili wachezaji wakihangaikia mishahara yao
 
Simba na yanga au simba na Yanga?
Can you note the difference?

Usijisahaulishe kwamba utoaji misaada na shughuli za kijamii umefanywa sana na matawi ya Yanga.

Ndiyo maana huwezi kumsikia poyoyo Haji akisema 5imba ni ya kwanza kwenye hili.

Get your facts in order !
 
Ni Simba na yanga

Anyway matawi ya yanga ila sio wachezaji wa yanga
 
Back
Top Bottom