Simba Sc game zilizobaki! Chukueni hatua hizi!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia.

Ushauri muhimu! Achaneni na Robertinho haraka ili Mgunda amalizie game zilizobaki. Naona kila dalili huyu kocha kuangushiwa jumba bovu.

Mnaojua mpira angalieni game vs Agusto ya Angola hapa Dar kuna vitu mtajifunza ili mfanye maamuzi ya kiume lakini kwa upepo uliopo huyu kocha tutamvunjia heshima bila sababu.

Aina ya mpira anaotaka kocha Robertinho hana wachezaji wa kucheza direct football na wanaoweza kucheza umri unawapa kikwazo. Tutampa lawama bure bila sababu. Tuwekeze kwa wachezaji wa maana badala ya kulaumu makocha kila msimu na kuishia kuwa timu inayobadili mno makocha.

Viongozi acheni tupambane na Mgunda wetu lakini msimu ujao mtenge bajeti ya usajili muache ubahili! Uvumilivu una mwisho [emoji25]

Tunashukuru Mungu game imeisha kwa ushindi!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
SAWA kabisaaa
 
Yani ulitaka kocha mpya aje kutumia mbinu za Mgunda[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi unaweza kunipa mfano wa hiki ulichoandika kiliwahi kutokea wapi hapa duniani? eti kocha anarudishwa alipotoka kwasababu wachezaji waliopo hawaendani na falsafa yake[emoji848][emoji848]

Kuna vitu vingine huwa sio vya kuandika wajameni, muwe mnatulia maisha yaende, mpira ndivyo ulivyo, kwani Mgunda akirudi ndio una hakika tutafika nusu au fainali ya CAFCL?

Au arudi halafu tukianza kusuluhu na Mbeya City tena tuseme Mgunda out🫣🫣🫣

Hebu tulia, atapewa wachezaji anaowataka mbele ya safari maisha yaendelee, lakini sio kujidumaza kwa hivi visingizio vya kitoto, hata ile Vipers hakuijenga kwa siku moja.
 
Sitakuwa muumini wa soka la huyu mzungu mpaka aondoke Simba .....
 
Ni mtazamo wako

TATIZO mpira hatuujui.
Hata Quality ya Wachezaji hatuujui.
Simba inakwamishwa na MWAMEDI BAHILI MO.

WACHEZAJI KAMA.
Sawadogo, Baleke, Banda, Okra, Ottara, Onyango Umri, Kanute.
Hawa wachezaji hawakutakiwa kabisa kuwa Simba.
Viwango vyao havipishani na wachezaji wa ndani.

Hivi kiungo MZAMIRU na Kanute mshambuliaji Baleke ukafananishe na....

Aucho Bangala na Mayele???

Mwamedi AACHE ushamba ATOE Hela ASAJILI, SIO KWENDA DUBAI DUBAI KUWABEBESHA WACHEZAJI NGADA.
 
Kocha anataka timu icheze mpira wa kisasa ambao unawapa shida wachezaji tulionao. Horoya ni timu bora kuliko Vipers, kwa makosa mengi ya jana wale wangetuadhibu. Binafsi natamani kocha avumiliwe ili msimu unaokuja asajili wachezaji wataokwenda na kasi yake lakini inaweza kuwa ngumu sababu ya pressure za mashabiki.

Bora Mgunda apambane game zilizobakia maana ndicho mashabiki wanachotaka ila najua hawezi kutoboa pia lakini itasaidia mashabiki ku face reality. Mfano mzuri ni game ya Agusto ambayo tulishinda goli moja lakini ulimi ulitutoka kwa Mkapa.

Vipers ni timu bora inahitaji muda kidogo watakuwa tishio sana. Wachezaji umri mdogo, control na upigaji pasi bora sana! Intensity ilikuwa better by far sababu ya average age ya wachezaji wao. Tujifunze hapo

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kocha anapewa lawama za bure kabisa. Kwa upumbavu huu huu ilibaki kidogo Yanga wamsepeshe Nabi kama sio msimamo thabiti wa injinia Hersi na uongozi wa yanga. Nyie mashabiki wa Simba mbona mnawaogopa sana Mo, Try Again na bodi nzima ya Simba? Waambieni ukweli wasajili kwanza wachezaji wa maana halafu ndio watajua kuwa Robertinho ni kocha au garasa. Kwa mtindo huu mtabadili makocha sana,

Hersi kalipa millioni 600 kumsajili Aziz Ki Mo kashindwa kulipa millioni 400 kumsajili Manzoki halafu wanamleta kwenye mkutano mashabiki wanashangilia. Simba ikifanya vibaya uwanjani jumba bovu anaangushiwa Robertinho. Wakija huku mitandaoni badala ya kupeleka lawama sehemu sahihi kwa Mo na bodi nzima wao wanamlaumu kocha ndio maana itachukua muda mrefu Simba kupiga hatua zaidi ya ilipofika sasa.
 
Unaizungumzia Horoya ile tuliyoikosa kosa pale kwao, au kuna Horoya nyingine?

Hebu kunywa maji utulie.
 
Kocha anapewa lawama za bure kabisa. Kwa upumbavu huu huu ilibaki kidogo Yanga wamsepeshe Nabi kama sio msimamo thabiti wa injinia Hersi na uongozi wa yanga. Nyie mashabiki wa Simba mbona mnawaogopa sana Mo, Try Again na bodi nzima ya Simba? Waambieni ukweli wasajili kwanza wachezaji wa maana halafu ndio watajua kuwa Robertinho ni kocha au garasa. Kwa mtindo huu mtabadili makocha sana,

Hersi kalipa millioni 600 kumsajili Aziz Ki Mo kashindwa kulipa millioni 400 kumsajili Manzoki halafu wanamleta kwenye mkutano mashabiki wanashangilia. Simba ikifanya vibaya uwanjani jumba bovu anaangushiwa Robertinho. Wakija huku mitandaoni badala ya kupeleka lawama sehemu sahihi kwa Mo na bodi nzima wao wanamlaumu kocha ndio maana itachukua muda mrefu Simba kupiga hatua zaidi ya ilipofika sasa.
Nimeshangazwa sana na hiki alichoandika mleta mada, hatuwezi kuwa wabadilisha makocha kila mwezi!.
 
Ushauri wa bure kabisa kwa viongozi wa Simba. Achaneni na kelele za mashabiki mwacheni Kocha aendelee na timu. Ni mashabiki hao hao walisema MGUNDA anatosha lakini baada ya muda mfupi wakageuka kusema Mgunda aondolewe.

Suala kubwa sajilini wachezaji wa maana mkipewa pesa za CAF kwa ajili ya maandalizi ya super 8 baada ya hapo kutakuwa hakuna kisingizio kwani uwezo wa kocha utaonekana wazi. Vile vile kocha huyu huyu alipewa muda wa kutosha na VIPERS akatengeneza timu Simba wakamuona anafaa kwa hiyo mpeni muda na wachezaji wa maana. La sivyo mtakuwa mnacheza ngoma ya kubadilisha makocha kila mara kiasi hata wachezaji nao watachanganyikiwa na mifumo tofauti tofauti.
 
Ni mtazamo wako

TATIZO mpira hatuujui.
Hata Quality ya Wachezaji hatuujui.
Simba inakwamishwa na MWAMEDI BAHILI MO.

WACHEZAJI KAMA.
Sawadogo, Baleke, Banda, Okra, Ottara, Onyango Umri, Kanute.
Hawa wachezaji hawakutakiwa kabisa kuwa Simba.
Viwango vyao havipishani na wachezaji wa ndani.

Hivi kiungo MZAMIRU na Kanute mshambuliaji Baleke ukafananishe na....

Aucho Bangala na Mayele???

Mwamedi AACHE ushamba ATOE Hela ASAJILI, SIO KWENDA DUBAI DUBAI KUWABEBESHA WACHEZAJI NGADA.
Aucho na Bangala takwimu zao zinafika kwa Chama?
Mayele si anaongoza kwa kufunga goli zisizozidi 17 wakati kacheza mechi 25 huo ubora wake mkuuubwa wa kutisha ni upi
 
Kocha anapewa lawama za bure kabisa. Kwa upumbavu huu huu ilibaki kidogo Yanga wamsepeshe Nabi kama sio msimamo thabiti wa injinia Hersi na uongozi wa yanga. Nyie mashabiki wa Simba mbona mnawaogopa sana Mo, Try Again na bodi nzima ya Simba? Waambieni ukweli wasajili kwanza wachezaji wa maana halafu ndio watajua kuwa Robertinho ni kocha au garasa. Kwa mtindo huu mtabadili makocha sana,

Hersi kalipa millioni 600 kumsajili Aziz Ki Mo kashindwa kulipa millioni 400 kumsajili Manzoki halafu wanamleta kwenye mkutano mashabiki wanashangilia. Simba ikifanya vibaya uwanjani jumba bovu anaangushiwa Robertinho. Wakija huku mitandaoni badala ya kupeleka lawama sehemu sahihi kwa Mo na bodi nzima wao wanamlaumu kocha ndio maana itachukua muda mrefu Simba kupiga hatua zaidi ya ilipofika sasa.
Timu ya Simba iko vizuri ingekuwa vibaya isingefikisha hata hizo 6 points kwenye mechi zake. 4 CAFCL
 
Wakuu,

Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia.

Ushauri muhimu! Achaneni na Robertinho haraka ili Mgunda amalizie game zilizobaki. Naona kila dalili huyu kocha kuangushiwa jumba bovu.

Mnaojua mpira angalieni game vs Agusto ya Angola hapa Dar kuna vitu mtajifunza ili mfanye maamuzi ya kiume lakini kwa upepo uliopo huyu kocha tutamvunjia heshima bila sababu.

Aina ya mpira anaotaka kocha Robertinho hana wachezaji wa kucheza direct football na wanaoweza kucheza umri unawapa kikwazo. Tutampa lawama bure bila sababu. Tuwekeze kwa wachezaji wa maana badala ya kulaumu makocha kila msimu na kuishia kuwa timu inayobadili mno makocha.

Viongozi acheni tupambane na Mgunda wetu lakini msimu ujao mtenge bajeti ya usajili muache ubahili! Uvumilivu una mwisho [emoji25]

Tunashukuru Mungu game imeisha kwa ushindi!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unaonaje kocha akabaki halafu msimu ujao tusajili wachezaji watakaoendana na mfumo wake kuliko tukamfukuza???
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom