MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia.
Ushauri muhimu! Achaneni na Robertinho haraka ili Mgunda amalizie game zilizobaki. Naona kila dalili huyu kocha kuangushiwa jumba bovu.
Mnaojua mpira angalieni game vs Agusto ya Angola hapa Dar kuna vitu mtajifunza ili mfanye maamuzi ya kiume lakini kwa upepo uliopo huyu kocha tutamvunjia heshima bila sababu.
Aina ya mpira anaotaka kocha Robertinho hana wachezaji wa kucheza direct football na wanaoweza kucheza umri unawapa kikwazo. Tutampa lawama bure bila sababu. Tuwekeze kwa wachezaji wa maana badala ya kulaumu makocha kila msimu na kuishia kuwa timu inayobadili mno makocha.
Viongozi acheni tupambane na Mgunda wetu lakini msimu ujao mtenge bajeti ya usajili muache ubahili! Uvumilivu una mwisho [emoji25]
Tunashukuru Mungu game imeisha kwa ushindi!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app