Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

xxtycoon

Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
33
Reaction score
67
Kikosi cha simba kinazidi kupepea na kuitangaza Tanzania vizuri kimatafita ukiachana na kuwa vijana wengi pesa kwenye game yao dhidi ya horoya maana najua wengi waliweka Simba “Win”.

Sasa Wachezaji wanne kwenye kikosi cha wiki na wawili kugombania mchezaji bora wa wiki baada ya mechi 5 ni hatua nzuri kitimu na inaonesha ubora na ukubwa wa ligi ya Tanzania kwa ujumla.

Pongezi ziende kwa simba [emoji106] waendelee kuitangaza Tanzania vizuri na waendelee kufanikisha mikeka ya watu kuwin kwenye sports tournament kutoka sokabet.
 
Ligi ya tanzanian imedhihirisha kuwa ni kubwa Sasa

Naona timu inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inafanya makubwa kimataifa.

Ni wakati wa yanga kujitathimini
 
Mambo mengine yangetokea kwenye timu kubwa kama Al Ahly, Mamelody, Wydad/Raja Casablanca, Esperance, nk wala huwezi kusikia makelele meengi kutoka kwa mashabiki wao.
 
Back
Top Bottom