Simba SC Haijaandaliwa Kimfumo wa KNOCK-OUT-

Mbona thread za utopolo kuhaha zimekuwa nyingi sana kuelekea mechi ya simba?
 
Kwangu huyo kocha Pablo ndio kocha wa hovyo zaidi kutokea Simba kwa miaka 4 iliyopita. Yaani ni Simba ndio inayombeba huyo kocha, kocha hana kipya na hadi leo hajui kikosi cha ushindi cha Simba. Kocha bora zaidi wa Simba ktk miaka 4 iliyopita Gomez. CAF wamewakosesha Simba bonge la kocha ingawa naye alijisahau sana kwa kutojiendeleza kielimu.

Vv

Vv
 
Tunawatakia kila lililo la kheri hao NG'OMBE FC katika michuano ya afrika.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hapo SSC hana kitu na watarudi kwenye Ligi wanayoiponda kila siku lakini ndo hiyo hiyo imewafikisha hapo walipo.unashinda nyumbani na unajisifu kwa Mkapa hawatoki lakini na wewe huko ugenini hutoki tena kwa goli nyingi,sasa nani mwenye faida na uwanja wake wa nyumbani?
 

Heri Yanga yenyewe Ina uwezo wa kushinda nyumbani na ugenini!! Hapo vipi, umefurahi eeh!! Ilishinda Dar na huko Nigeria!! Ikakosa hata mpinzani ndio maana iliondoka mashindanoni!! Hapo vipi, umefurahi eeh!!
 
Wana 812,000,000 huko robo , akifika nusu Dola 450,000 ( 1,044,000,000).
Ila south patakua pagum sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…