Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

Utopolo roho zinawauma sana,kila kitu mlichofanikiwa mnalinganisha na Simba..[emoji1787][emoji1787]
Hapa ndipo utajua who is the trend setter..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Simba tuna "mchezaji bora" wetu kila mwezi analamba 2m toka kwa Emirates Alluminium. Hii ndio ina sense zaidi kuliko hao wa TFF na GSM
 
Back
Top Bottom