Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna huchezi hiyo ndondo cup ya Africa?Alijua unaongelea kwenye Africa ndondo cup wanakoshiriki
Uto bna mashabiki wake Wa ovyo ovyo.Mbn Msimu Ulopita Mlikuwa Mkitoa Wachezaji Bora Wa Mwezi Wa Ligi Kuu Na Huku Mkicheza Iyo Michuano Yenu Ya Kikumataifa [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndondo cup ambayo mlipigwa nje ndani bila majibu
na kelele juu hatuchezi hatuchezi uto bna
Kwenye kundi la vichaa hakosekani mwenye nafuuSimba tuna "mchezaji bora" wetu kila mwezi analamba 2m toka kwa Emirates Alluminium. Hii ndio ina sense zaidi kuliko hao wa TFF na GSM
Thimba Nguvu Moya [emoji205]Uto bna mashabiki wake Wa ovyo ovyo.
Mnaongoza point Ila akili na mioyo ipo Simba,hamjawahi kuwa na furaha nyie.Thimba Nguvu Moya [emoji205]
Sawa Nyie Wenye Furaha Tutawaona Msimu Huu.Mnaongoza point Ila akili na mioyo ipo Simba,hamjawahi kuwa na furaha nyie.
Punguzeni kulialiaSawa Nyie Wenye Furaha Tutawaona Msimu Huu.
Hatuwezi kuongelea ligi wakati tupo kwenye michuano bora zaidi ya ligiInaongelewa ligi mbona una kichwa kigumu au unavuta?
Kimataifa Simba imetoa goli bora
Hiyo record mbona hampendi kuizungumzia?