Simba sc haina tofauti na "Selemani' aliyeimbwa kwenye wimbo wa Mbosso kutoka WCB

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly.

Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende ndiyo pira litakalokutana na bingwa wa Africa Al ahly.

Kama kungekua na uwezekano wakubadili timu Basi ningekua wa kwanza kupiga kura Simba sports isiiwakilishe Tanzania kwa mpira mbovu walio nao.

Kuanzia kwa kipa (Ayubu) mpaka kwenye Ukuta wa electrical fence hakuna kitu kabisa.

Viungo wakabaji Mzamiru na Fabrice Ngoma Kama huyu ndiye mchezaji mliyemuiba airport Basi Yanga waliwachezea mchezo mchafu mkaingia kingi Ila kiuhalisia hakuna mchezaji pale.

Kiufupi Simba sc ni timu isiyoeleweka Kama selemani' wa Mboso Khan.

Ikumbukwe Al ahly Hana beki za kujifunga Kama power dynamo na ikumbukwe Al ahly Hana muda wa kukuchekea nyumbani kwako Wala nyumbani kwake.

Ukweli usemwe japokua ni mchungu.
 
funga Kama power dynamo na ikumbukwe Al ahly Hana muda wa kukuchekea nyumbani kwako Wala nyumbani kwake.

Ukweli usemwe japokua ni mchungu.
DADA HUYO AL AHLY TUSHAMLALA SANA SI MGENI.
 
Mimi nashabikia mnyama lakini ukweli usemwe hatuna timu..tuna timu mbovu kuwahi kutokea.! Pira bovu sana..wachezaji wanacheza kifather...sijui kwanini hawajifunzi kwa Yanga? Unapigwa mpira mpaka unatamani usiishe..na yanga itakua timu ya kwanza kwenda nusu fainali.
 
Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly.

Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende ndiyo pira litakalokutana na bingwa wa Africa Al ahly.

Kama kungekua na uwezekano wakubadili timu Basi ningekua wa kwanza kupiga kura Simba sports isiiwakilishe Tanzania kwa mpira mbovu walio nao.

Kuanzia kwa kipa (Ayubu) mpaka kwenye Ukuta wa electrical fence hakuna kitu kabisa.

Viungo wakabaji Mzamiru na Fabrice Ngoma Kama huyu ndiye mchezaji mliyemuiba airport Basi Yanga waliwachezea mchezo mchafu mkaingia kingi Ila kiuhalisia hakuna mchezaji pale.

Kiufupi Simba sc ni timu isiyoeleweka Kama selemani' wa Mboso Khan.

Ikumbukwe Al ahly Hana beki za kujifunga Kama power dynamo na ikumbukwe Al ahly Hana muda wa kukuchekea nyumbani kwako Wala nyumbani kwake.

Ukweli usemwe japokua ni mchungu.
Ahaaaaaa,ona huku
Screenshot_20231001-205341~2.png
 
Mimi nashabikia mnyama lakini ukweli usemwe hatuna timu..tuna timu mbovu kuwahi kutokea.! Pira bovu sana..wachezaji wanacheza kifather...sijui kwanini hawajifunzi kwa Yanga? Unapigwa mpira mpaka unatamani usiishe..na yanga itakua timu ya kwanza kwenda nusu fainali.
Umeongea kimpira sana
 
Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly.

Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende ndiyo pira litakalokutana na bingwa wa Africa Al ahly.

Kama kungekua na uwezekano wakubadili timu Basi ningekua wa kwanza kupiga kura Simba sports isiiwakilishe Tanzania kwa mpira mbovu walio nao.

Kuanzia kwa kipa (Ayubu) mpaka kwenye Ukuta wa electrical fence hakuna kitu kabisa.

Viungo wakabaji Mzamiru na Fabrice Ngoma Kama huyu ndiye mchezaji mliyemuiba airport Basi Yanga waliwachezea mchezo mchafu mkaingia kingi Ila kiuhalisia hakuna mchezaji pale.

Kiufupi Simba sc ni timu isiyoeleweka Kama selemani' wa Mboso Khan.

Ikumbukwe Al ahly Hana beki za kujifunga Kama power dynamo na ikumbukwe Al ahly Hana muda wa kukuchekea nyumbani kwako Wala nyumbani kwake.

Ukweli usemwe japokua ni mchungu.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom