Simba sc haina tofauti na "Selemani' aliyeimbwa kwenye wimbo wa Mbosso kutoka WCB

Simba sc haina tofauti na "Selemani' aliyeimbwa kwenye wimbo wa Mbosso kutoka WCB

Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly.

Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende ndiyo pira litakalokutana na bingwa wa Africa Al ahly.

Kama kungekua na uwezekano wakubadili timu Basi ningekua wa kwanza kupiga kura Simba sports isiiwakilishe Tanzania kwa mpira mbovu walio nao.

Kuanzia kwa kipa (Ayubu) mpaka kwenye Ukuta wa electrical fence hakuna kitu kabisa.

Viungo wakabaji Mzamiru na Fabrice Ngoma Kama huyu ndiye mchezaji mliyemuiba airport Basi Yanga waliwachezea mchezo mchafu mkaingia kingi Ila kiuhalisia hakuna mchezaji pale.

Kiufupi Simba sc ni timu isiyoeleweka Kama selemani' wa Mboso Khan.

Ikumbukwe Al ahly Hana beki za kujifunga Kama power dynamo na ikumbukwe Al ahly Hana muda wa kukuchekea nyumbani kwako Wala nyumbani kwake.

Ukweli usemwe japokua ni mchungu.
Una kitu na utafika mbali
 
MOJA KATI YA WATU WAPUMBAFU KABISA HAPA JUKWAANI AKIENDELEZA UPUMBAVU WAKE
 
KATEMBEA na hela yangu mbwa huyu
We acha tu! kuna mtu kanipa 50k nilikuwa namdai nilichoambulia ni kilo lost na bia 2, nyingine katembea nayo simba.

Kwa mtazamo wangu kwa tunaobeti ni heri umdhamini deportivo utopolo utaangalia mpira kwa amani kuliko timu yetu, ni presha tupu.
 
Back
Top Bottom