KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 186
- 313
Ili uweze kushinda Mataji ni lazima uwe na mbinu za kumfunga mpinzani wako mkuu unayeshindania nae taji.
Kocha Fadlu sio tu kwamba Hana mbinu za kumfunga Yanga Bali amekosa mbinu ya kupata hata bao Moja katika michezo minne mfululizo.
Fadlu anazitegemea timu zingine kama Azam zimfunge Yanga Ili abebe ubingwa kitu ambacho hakiwezekani.
Fadlu pia ameshindwa kuwatumia wachezaji wengine kama Mzamiru na Mutale Ili kuisaidia timu, kama anaona hawamfai angeshauri uongozi uachane nao kuliko kujaza squad players wasio na faida.
Jambo lingine ninaloliona kwa timu kila inapokutana na Yanga ni kukosa muunganiko, timu inashindwa kupiga pasi za kwenda mbele, wachezaji hawafunguki kuomba pasi Bali wanajificha. Kocha ameshindwa kutibu Hilo tatizo licha ya kuwa na pre-season mbili tangu atue Simba.
Uongozi wa Simba SC mtimueni Fadlu haraka la sivyo mtaendelea kuwa vibonde wa Yanga.