Simba SC hata wakipewa miaka kumi ya kujiandaa Kama walivyoiomba Bodi ya ligi ni ngumu kuifunga Al Ahly

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.

Ni Bora Simba sc wacheze mechi na Singida fountain Gate Fc ili ikitokea wamepigwa goli za kutosha na kutolewa katika michuano hiyo ya mbuzi Al maarufu super league wawe na Cha kusingizia kwamba walicheza mechi ngumu kabla ya kukutana na Al ahly.

Gape la kutoka tar 8 mpaka tar 20 ni kubwa mno na wachezaji watakua wamepnzika vya kutosha Sasa sijui Simba wana malengo gani kuomba mechi Yao dhidi ya Singida fountain Gate kupelekwa mbele.

Bodi ya ligi wakitoa hata miaka kumi kwa Simba bado ni ngumu kwa Simba sc kumfunga Al ahly Hilo halina ubishi Wala halina unafiki.
 
USIJE Ikawa WATU wanalipwa hapa NDANI kwa Kuanzisha Nyuzi.

Naliona Lile kundi la WATU watatu hapa wale WAPUMBAVU Kila Dakika ni kuja KUANIKA UPUMBAVU wao.

GE............
NA ...........
LA.................

GENARA
HUNA AKILI NA HUNA MARINDA.
 
Mkiambiwa muache gongo mnaona tunawasimanga, ona sasa!
 
Kumbe jamaa Ameolewa na Kila siku Analala bila Pichu?????

Anapakatwa na kupakatika??????

Mbona hamjaniambia Mapema
WATU MNA Siri sana.

Mi nina habari zake za JESHINI alivyokuwa anashikishwa ukutani.
Ni kweli Kabisa tulikua wote na waliokuzaa Wala hata hujakosea
 
Mpira unachezwa uwanjani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…