NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Tarehe 20 utacheza na Nan??YANGA ndio ANACHEZA na Al Ahly
HAPA NDIPO UTAONA FAIDA ZA KUROPOKA ROPOKA.
[emoji120]
Unajitoa akili ety
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 20 utacheza na Nan??YANGA ndio ANACHEZA na Al Ahly
HAPA NDIPO UTAONA FAIDA ZA KUROPOKA ROPOKA.
[emoji120]
WA KAWAIDA TU.Mungu fundi ujue,atimae kawaletea Al ahly miguuni mwenu"kiko wapi"[emoji22][emoji22]
TAR 20 SIMBA SC INACHEZA NA NANI PALE KWA MKAPA?YANGA ndio ANACHEZA na Al Ahly
HAPA NDIPO UTAONA FAIDA ZA KUROPOKA ROPOKA.
[emoji120]
Sio lazima kuwa unaandika andika. Sometimes unatulia, unajisomea.Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.
Ni Bora Simba sc wacheze mechi na Singida fountain Gate Fc ili ikitokea wamepigwa goli za kutosha na kutolewa katika michuano hiyo ya mbuzi Al maarufu super league wawe na Cha kusingizia kwamba walicheza mechi ngumu kabla ya kukutana na Al ahly.
Gape la kutoka tar 8 mpaka tar 20 ni kubwa mno na wachezaji watakua wamepnzika vya kutosha Sasa sijui Simba wana malengo gani kuomba mechi Yao dhidi ya Singida fountain Gate kupelekwa mbele.
Bodi ya ligi wakitoa hata miaka kumi kwa Simba bado ni ngumu kwa Simba sc kumfunga Al ahly Hilo halina ubishi Wala halina unafiki.
Robertinho ni strategist alieiva, labda walaumiwe wachezaji.Ngoja wapigwe kwanza nje ndani na hao Al Ahly! Na kwenye makundi nako washike mkia, ili zile kelele zao za kumkataa Robertinho zianze upya.
KWA HIYO HUTAKI TUTOE MAONI KUHUSU SIMBA YENU MBOVU.Sio lazima kuwa unaandika andika. Sometimes unatulia, unajisomea.
Simba inakunyima raha kiasi hiki. Michuano ya mbuzi?! Infantino ndani, wakali kama Wenger ndani.[emoji1787][emoji1787]
Hakika MACHOKO hamtaisha Nchi hiiNdiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri.