Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil πŸ‡§πŸ‡· JEFFERSON LUIS kwa Mkataba wa miaka miwili.
. Jefferson (29) maarufu kama Mikono ya Sumaku anatua Simba kushindania namba na Aishi Manula aliye majeruhi.
 
tushaona jana tuna vikosi viwili na nusu hatuna presha...TABU YENU MAKOLO IPO PALE PALE kanjibai si anakaribia kukata tamaa!msimu huu ile tamaa ndo tunaikata mazima
 
Kwa usajili huu alafu mkose Kila kitu mwakan tutatafutana humu naona bench liko full la wachezaji
 
SIJAWAHI kuwa na Imani na wachezaji wanaokuja Tanzania kutoka Nje ya Africa.

Simba wanaitaka KU bland Timu na kushindana na Akina MAMELOD

GOLIKIPA WA CAMEROON ALIKUWA MZURI MNO.
FC LUPOPO.
 
Mimi ni Yanga damu Ila safari hii Simba mmeamua tuna hofu kubwa sana na kosi lenu, sema ndo vile tunajitutumua tu mmetisha sana watani tuoneeni huruma kidogo..
Ila wewe jamaa kwa umalaya hakuna anayekufikia. Ulikuwa na Simba, ukawa na Rivers, ukawa na Marumo, ukawa na USMA, sasa hivi unajifanya upo na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…