Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

Hiyo ni tabia yenu huko avic town refer kabwili
Wengine hawa
JamiiForums-1379199085.jpg
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Uzuri wa kikosi chetu hata nafasi ya kipa haikuwa ya muhimu
Hauko serious hata kidogo. Mlinda mlango wenu namba moja Aishi Manula ni majeruhi! Mlinda mlango namba 2 Benno Kakolanya amehamia timu nyingine!

Halafu unasema nafasi ya kipa haikuwa ya muhimu!!
 
Tatizo huyu kipa umemjaji kwa race na sio kwa uwezo.

Subiri muda ufike tutaona.
Halafu umenielewa tofauti. Mimi sina tatizo na rangi yake. Nilichosema ni viongozi wako kurudia makosa ya msimu uliopita.

Kocha anakuja na mchezaji kutoka nchini kwake, halafu akiondoka na mchezaji naye anaanza kuzingua kama ilivyotokea kwa Mlete Mzungu
 
Hata hivyo kabla ya huyu kipa mbona kulikuwa na kipa mwingine aliyependekezwa na kocha lakini Simba wakamtema

Kwa hiyo mpaka Simba wameamua kumleta huyu kipa watakuwa wamejiridhisha na sio kwamba wamemleta tu kwakua kocha kasema.

Mbona ukiangalia hata sajili za msimu huu karibia 96% sio mapendekezo ya kocha na hakuna mwenye wasiwasi juu ya ubora wao.
 
Back
Top Bottom