Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

hii haijakaa vema, as Simba fans, mpira ni burudani wacha watu wakaburudike so mashabiki wa Plateu sijui hawataruhusiwa. Tusibaguale kiasi hiki. Tumetoka kwenye maumivu ya election. Tena na huku waacheni Yanga waje tupambane uwanjani na nje ya uwanja. Uwanjani ni kabumbu, nje ni kwa hoja sote ni WATANZANIA natamani dola liingilie huu ni upuuzi hautakiwi
 
Buddy wewe ni fan wa football kweli au umezamia tu huku?

Pira la mguu ni hisia zilizojaa mapenzi, huwezi kuwa unashangilia kila timu haiwezekani hata siku moja.
Soma vzuri comment yangu, nmesema tangu lini mtu achaguliwe team ya kushangilia? kama kuna mashabiki wa Plateau wanaoishi Tanzania mtawazuia? ile mechi sio mali ya Simba ni ya CAF
 
Halafu hawa jamaa jezi zao ni yanga kwisha kazi, kweli presha lazima ipande
 
Figisu tumefanyiwa Simba huko Nigeria kwa wageni kutoonyesha game imegharimu mashabiki wa Simba,Yanga and the rest...Simba figisu yetu tunataka mashabiki wetu tu uwanjani na si wengine ikimgharimu yeyote yule haituhusu...sasa nyinyi Utopolo/Gongowazi/Chura fc mnadhani nyie nani labda wa kutupangia silaha kwenye vita/mechi isiyowahusu?

Kwanza tuna haki ya kuwazuia kwani viongozi wenu pamoja na TFF wameshindwa kuwawajibisha kila mara mnapopiga mashabiki wetu,kuwachania jezi na kuwanyanyasa,nadhani mpaka Sikh mtakapo ua mtu...ila hii hatuwazuii kwasababu hiyo,ila tuna jambo letu jumamosi.
 
Mpira wa bongo bana, tangu lini mtu ana chaguliwa team ya kushangilia?
wale wahuni kule kwao walizuia mpaka waandishi wa habari wa simba afu sisi tujifanye wema sana tuwape mpaka mashabiki
 
Buddy wewe ni fan wa football kweli au umezamia tu huku?

Pira la mguu ni hisia zilizojaa mapenzi, huwezi kuwa unashangilia kila timu haiwezekani hata siku moja.
inashangaza kwa kweli. badae kidogo wanahamia Platnumz
 
mashabiki wanaotakiwa ni elfu 30 tu simba tnajitosheleza kaeni pembeni vyura
 
Soma vzuri comment yangu, nmesema tangu lini mtu achaguliwe team ya kushangilia? kama kuna mashabiki wa Plateau wanaoishi Tanzania mtawazuia? ile mechi sio mali ya Simba ni ya CAF
Sasa kama ni mechi ya CAF kwa nn plateau walizuia kurusha live mechi ya kwanza ingali so Mali yao?!... Simba wanayo haki ya kuamua nan wakumuuzia tiketi kama ambavyo plateau walivyo kuwa na haki ya either kuruhu kuonesha ama kutoionesha live mechi ya kwanza!!

UTOPOLO TULIENI DAWA ISAMBAE VIZURI!!!
 
Hata kwenye Television hatuwaruhusu,mechi inawahusu Simba wao wanaangalia ili iweje?..waende huko sitimbi wakacheze bao.
 
kwa nini simba mnakuwa waoga namna hii??

Nani kamfanyia nani vurugu uwanjani??

Hivi hicho kikosi chenu mmekiandaa kweli??
1.Simba sio waoga Bali tunatumia haki yetu kama vile plateau walivyotumia haki yao!!?..
Kwan yanga mnahusikaje kwenye mechi ya klabu bingwa ambayo inawahusu Simba?!!

2. Shabiki wa Yanga alimfanyia vurugu shabiki wa Simba uwanja wa Chamanzi.

3. Ndio tumekiandaa tokea mechi ya kwanza ambayo tulimfumua plateau kwao
 
Huyu msemaji wa Simba ni tatizo kubwa kwa soka ya Tanzania...kushangilia timu pinzani ndiyo utamaduni wa ushabiki wa soka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…