Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

Haka kajamaa nimekashtukia kanasema hivyo ili wanajangwani twende kwa wingi wapate mapato, tumeshtukia walaaaaa hatuendi kama ni kupigwa watapigwa tuu..
 
Mpira wa bongo bana, tangu lini mtu ana chaguliwa team ya kushangilia?
Buddy wewe ni fan wa football kweli au umezamia tu huku?

Pira la mguu ni hisia zilizojaa mapenzi, huwezi kuwa unashangilia kila timu haiwezekani hata siku moja.
 
Hii kauli inachochea uhasama
Ni kweli kabisa hii kauli unachochea uhasama.

Yaani walivyosema kuwa watauza tiketi kupitia mfumo wa kadi ilikuwa inatosha.

Lakini hii ya kusema wazi kuwa hawataki mashabiki wa Yamnga waingie uwanjani ni ubaguzi wa wazi.
 
Na Mimi pia nitaenda, na tumepanga kwenda kikundi tuone hao Mnyero fc watatufanya nini. Hii nchi ni nchi huru, kila mtu Ana Uhuru wa kufanya atakalo ili mradi havinji Sheria yoyote.
 
Hakili za simba na wana simba ni balaa tu.
We Unajua ni nani aliyeanza kusema kwamba 'msije kwenye mechi isiyowahusu' kama siyo Yanga? Wameenda mbali hadi wanawapiga mashabiki wa Simba wanaoenda kushabikia timu yoyote ya ligi kuu inayocheza dhidi ya Yanga. Upuuzi gani huu!

Sasa jipendekezeni kwenye game yetu dhidi ya Plateau muone mtakavyovuta
 
Utopolo mtupishe na nyie subilieni nafasi ya viti maalum mje mshiriki mwakani
 
Na Mimi pia nitaenda, na tumepanga kwenda kikundi tuone hao Mnyero fc watatufanya nini. Hii nchi ni nchi huru, kila mtu Ana Uhuru wa kufanya atakalo ili mradi havinji Sheria yoyote.
Uko sahihi. Sasa kwanini nyie mmekuwa mnawafanyia vurugu mashabiki wa Simba wakija kwenye game zenu za VPL?
 
Mwenyewe kuandika majanga, ama kweli Nyani haoni Kundule.
 
Soka la Africa bhana tuko tofauti Sana na ulaya na pia nadhani tutakua tupo tofauti na mabara mengine yote

Mashindano makubwa ya vilabu ndani ya bara yamegubikwa na ujanja ujanja mwingi Sana

Simba kaenda kucheza Nigeria wenyeji wao wameamua kuto onyesha game ili wafanye magumashi, pili game hiyo ilichezwa Hadi dakika ya 97:50's almost dakika 98 na hakukuwa na dakika zilizo ongezwa Wala kutangazwa kwamba muda umeongezwa.

Second leg na wao platue wanakuja kucheza Tanzania ambako Simba ndo waandaaji nao wanakwambia ili uingie uwanjani ni lazima uwe na jezi za wao nyekundu au nyeupe

Sasa Hawa platue wanakuja Tanzania lakini wanao ndugu huku ila na wao wasiingie kuona ndugu zao.

Anyway soka la Africa lipo complicated Sana
 
Sasa Hawa platue wanakuja Tanzania lakini wanao ndugu huku ila na wao wasiingie kuona ndugu zao
Kama wao walivyo chagua kuzia sisi mashabiki wa Simba sc kuangalia mechi live, basi na sisi Simba sc mabingwa wa ligi kuu tumechagua kuwazuia mashabiki wao hao plateau united!!!.

Natunajua utopolo ndio wanaoteseka ila hatuna cha kuwasaidia, ndengelekiiiiiiii
 
Back
Top Bottom