Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Kwenye mpira hakuna usengelema Kama huu
Mimi Yanga niitaenda na ole wake nguchiro yeyote wa Simba anizuie lazima nizae nae
Kuzaa siyo ishu hata mama yako alizaa na baba yako!
Sasa wewe ukileta huo ubishi wako basi hao nguchiro unaowasema watakupiga mimba kabisa ili utakapozaa nao ujue uchungu wake pia!