Simba SC hatutashiriki Kagame CUP, tunapumzika kwanza

Simba SC hatutashiriki Kagame CUP, tunapumzika kwanza

Hivi imekuwaje hii michuano imepoteza mvuto ghafla.....
Still naikumbuka header ya ulimboka mwakingwe dhidi ya El merreikh. Kipindi hicho haya ni mashindano kweli.
Uongozi wa Sasa wa Cecafa haufanyi vya kutosha kuboresha mashindano ikiwemo kutafuta wadhamini wengi zaidi na zawadi nzuri kwa washindi na maslahi kwa washiriki wengine hivyo yamepoteza mvuto.
 
Back
Top Bottom