Simba Sc hii inatisha, Yanga tutawachakaza mpaka mashabiki wakimbie uwanjani

Simba Sc hii inatisha, Yanga tutawachakaza mpaka mashabiki wakimbie uwanjani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Hiyo tarehe 8 hatimaye imebaki siku 5 tu tutembeze kichapo cha mbwa koko. Tutawachakaza mpaka mashabiki wenu wakimbie uwanjani.

Wakati mnategemea mazali na kudra za Mungu mjiandae kisaikolojia kupokea kichapo cha kuchakaza.

Hamna kikosi cha kupambana na Simba Sc, Simba wanapiga mpira na kufanya chochote muda wowote na hakuna mtu wa kumzuia.

Tutawapelekea moto
 
Simba ndio timu inayo nyanyaswa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote iliyo wahi tokea Tanzania.
Haya Mambo huwa hayaelewek,,,,Simba anaeza liwa vizuri tu, af onyango atakuwa man of the match , hii ni jins gan watapelekewa moto
 
Sio watakimbia tu uwanjani bali watakimbia jiji maana utakuwa mwisho wa unafiki wao kuwa Simba inabebwa.
 
Angalia usije kukimbia hii thread mzee baba ..... maaana yangu ndio inaongoza kuwa harvest simba zaidi .
 
Mashabiki wa yanga baada ya mechi kumalizika kwa mkapa
1619954063973.png
 
Game za Simba na Yanga hazitegemei ubora wa wachezaji uwanjani. Kuna mambo mengi yanafanyika huku nje ya uwanja.

Kuna visomo na kulogana. Si ajabu hao unaowaona nyota leo wakapigwa misumari hadi kuja kuhathiri uwezo wao hadi kwenye mechi ya Kaizer chips.
 
Hizi mechi za Simba na yanga nilishaacha kuingia na matokeo mfukon Wanarogana sana uwanjani
 
Simba na Yanga mechi inamalizwa nje ya uwanja sikumoja,mbili,tatu kabla ya mechi kuchezwa.
Mira na desturi zizingatiwe Mshana Jr
 
Mje na kikosi kamili hatutaki kusikia yale ya Zanzibar mara miss gani hakucheza au mara mara mpira ulikuwa wa kasi mno wazee wetu wakachoka, mje mkiwa kamili ili mkipigwa basi kusiwe na utetezi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mtaishia kuchukua mile ki ji kombe. Yenye umuhimu hayo yanaanza kujisogeza yenyewe kwa Mnyama
 
View attachment 1770985

Hiyo tarehe 8 hatimaye imebaki siku 5 tu tutembeze kichapo cha mbwa koko. Tutawachakaza mpaka mashabiki wenu wakimbie uwanjani.

Wakati mnategemea mazali na kudra za Mungu mjiandae kisaikolojia kupokea kichapo cha kuchakaza.

Hamna kikosi cha kupambana na Simba Sc, Simba wanapiga mpira na kufanya chochote muda wowote na hakuna mtu wa kumzuia.

Tutawapelekea moto
Labda ni mgeni wa matches za Simba na Yanga. Hizi huwa hazitegemei ubora wa team hata siku moja. Utakuja nambia hapa.
 
Back
Top Bottom