Simba SC, hii sasa sifa...

Simba SC, hii sasa sifa...

Yule msemaji wa Simba alipayuka kweli kuwa gazeti la Mwanaspoti linatumiwa na Mavugo atatua Dar tar 7 August...

Hiyo ilikuwa ni baada ya Mwanaspoti kuandika kuwa Simba imeliwa hela na Mavugo maana hatakuja...

Ajabu ni kuwa wiki moja tu baadaye Simba wenyewe wakaanza kuzuga kuwa Mavugo haji tena maana timu yake imempandisha bei...

Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi.
Haaaaaaa haaaaaaaaa
 
Haha.. Kwanini Mkuu?

Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno...

Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire...

Utakuwa unaipenda sana Simba wewe...
 
Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno...

Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire...

Utakuwa unaipenda sana Simba wewe...

Thanks Mkuu.. Upendo wangu kwa Simba SC hauelezeki.

Karibu Taifa leo kushuhudia lile soka ninaloliongelea humu kila siku.
 
Back
Top Bottom