Simba SC, hii ya kubandua logo ya sportpesa na kubandika ya m-bet juu yake ni ushamba

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Katika hali ya kushangaza, Klabu ya Simba Sc imetumia Pasi kutoa logo za Sportpesa na kubandika logo za M-BET katika jezi za mazoezi, safari na hata vifaa vya mazoezi.

Kulishindikana nn kuprint jezi mpya angalau pisi 100 mkaweka hiyo logo ya MDHAMINI mpya??

Au hao SPORTPESA bado wanatangaza biashara kupitia nyie?? Ni AIBU sana kwa klabu inayojinasibisha kuwa kubwa Afrika.

Nimeambatanisha picha kwa ushahidi.
 
Nyie Yanga msimu ujao, mtateseka sana. Mtalia na kusaga meno!
Mwaka m1 nyuma Yanga kisinda alikua ndio star wa Yanga kiasi hadi alipouzwa yalitokea malalamiko kibao,lakini kwa sasa kisinda ukipanga first 11 ya Yanga hana nafasi,mwaka m1 nyuma makolo walikua wanadai level zao si za kusajili mchezaji wa kitanzania leo hii usajili wa kiyombo kwa madai yenu umetikisa africa,jiongeze kuanzia hapo tu kolo
 
Nakumbuka Shaffih Dauda aliwahi kusema ili Yanga awe bingwa asajiri wachezaji wa Simba ambao hawapewi nafasi kwenye kikosi cha kwanza. Maisha yanakwenda kasi sana.
 
Sasa kama pesa za usajili ni mtihani na hizo pesa za kuprint Jersey watazitoa wapi?
 
Hivi usikute wameingia mkataba na hao M-bet kwa mali kauli! Ilishindikana vipi kuchapa nembo ya mdhamini kwenye jezi mpya?

Yaani kila sehemu wanafanya tu janjajanja! Ukiuliza bilioni 20 ziko wapi, wanakuparua!
 
waache kulalamika M-bet unalalamika wewe raia wa Buza hata chai ujanywa!
 
MWAMEDI KWANI B20 ZETU ZIKO WAPI, UNAONA TUNAVYODHALILISHWA HUKU MITANDAONI?

Na wewe Fred Vunja Bei umetuuzia jezi za kuvunja bei hadi sasa hujatuletea zenye quality tunaaibika tu
 
Sportpesa ni ya Tarimba na Tarimba ni Yanga, hatuwezi mnufaisha yeye hata cku moja
 

Si jenzi zao sa unawapangia maisha?
 
Unaona wivu unatamani ubanduliwe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…