CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Katika hali ya kushangaza, Klabu ya Simba Sc imetumia Pasi kutoa logo za Sportpesa na kubandika logo za M-BET katika jezi za mazoezi, safari na hata vifaa vya mazoezi.
Kulishindikana nn kuprint jezi mpya angalau pisi 100 mkaweka hiyo logo ya MDHAMINI mpya??
Au hao SPORTPESA bado wanatangaza biashara kupitia nyie?? Ni AIBU sana kwa klabu inayojinasibisha kuwa kubwa Afrika.
Nimeambatanisha picha kwa ushahidi.