Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Mihayo ni kocha mzuri sana mwenye msimamo, strategy na vision na technically he is absolute best.
Ni kocha ambae anaeweza kuja kufanya reform ya SSC ikawa timu bora kuliko kukomaa na hawa wazungu Uchwara.
Ni kocha ambaye anaweza akamuweka Manula kando, anaweza kumuweka Bocco, Chama kando kwa maana anapenda wachezaji wenye focus ya kuelekea mbele pasipo kupoteza mipira au ku-hold mipira pasipo na sababu ya msingi; hapendi show game, anapenda magoli zaidi.
Anaweza kuishauri Simba nani asajiliwe ili timu iwe na safu ya ulinzi itakayoweza kuleta tija na ushindani wa dhati. Hapendi kuingililiwa kwenye kazi au umbea wa kina Matola kuchongea Makocha wakigeni.
Kubwa zaidi ni kocha mwenye msimamo na asiyependa kuyumbishwa.
Kama Mo yupo serious, basi awekeze kwa huyu kocha; na aache ubahili. Hakuna uchawi wala miujiza kwenye mpira tuache kujidangànya. Kishingo anampotezea muda, hana mbinu yoyote ya msingi na atawatia hasara huku mkijinadi kikosi kipana.
Kikosi kipana my foot!
Nashauri pia kuanzia Kishingo na Matola wote wakae kando; na kuweka benchi la uhakika likiongozwa na Mihayo.
Vinginevyo wapenzi wa SSC subirieni huzuni nyingine soonest kwenye Klabu Bingwa Africa; na Mo alivyo Immature; lazima mkonde maana this time atajitoa hadi uwekezaji.
Ukitizama mpira wa Simba na Yanga; ni dhahiri kishingo was blind technically na ndio sababu ya kufungwa.
Uchezaji wa Yanga ulikuwa very technically; hawakuwa na Mpango wa show game zisizo na tija; wachezaji walikuwa wanalinda; halafu ghafla wanahamisha mashumhulizi mbele;
ni kipindi hichi ndipo Mkude alikuwa anaelemewa Mpaka kufanya faulo iliyoleta Madhara, ni kipindi hichi Manula alikuwa akipata shida sana pale Golini, ni kipindi hicho Mo alikuwa hatulii kwenye kiti chake, ni kipindi hicho mashabiki wa SSC waliamini kwamba things are never easy, ni kipindi hicho mashbiki wa SSC walikuwa wakiomba japo watoke suluhu kutunza heshima mamluki.
Baada ya Mashambulizi kama hayo Yanga walikuwa wakirudi nyumba kutoa nafasi SSC wafanye show game zisizo na msingi wala kusababisha.
Hii ndio inaitwa akili ziada ya kocha ambayo kimsingi Kishingo ana miss that skill, na hakuweza kujua what was Yanga really doing throughout the Match; Kama hakuweza kustuka hili, honestly huyu sio kocha. But time will tell.
Nilisikitika sana Yanga kufunga Goli Moja; kulikuwa na uchochoro wa kufunga goli zaidi ya mbili; imeniuma, goli moja haikuwa hadhi ya Yanga kwa timu yenye uchochoro kama Simba.
Pamphile Mihayo