Simba SC ifikirie kumchukua kocha aliyeachwa na TP Mazembe

Mk54

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,996
Reaction score
3,950
Mihayo ni kocha mzuri sana mwenye msimamo, strategy na vision na technically he is absolute best.

Ni kocha ambae anaeweza kuja kufanya reform ya SSC ikawa timu bora kuliko kukomaa na hawa wazungu Uchwara.

Ni kocha ambaye anaweza akamuweka Manula kando, anaweza kumuweka Bocco, Chama kando kwa maana anapenda wachezaji wenye focus ya kuelekea mbele pasipo kupoteza mipira au ku-hold mipira pasipo na sababu ya msingi; hapendi show game, anapenda magoli zaidi.

Anaweza kuishauri Simba nani asajiliwe ili timu iwe na safu ya ulinzi itakayoweza kuleta tija na ushindani wa dhati. Hapendi kuingililiwa kwenye kazi au umbea wa kina Matola kuchongea Makocha wakigeni.

Kubwa zaidi ni kocha mwenye msimamo na asiyependa kuyumbishwa.

Kama Mo yupo serious, basi awekeze kwa huyu kocha; na aache ubahili. Hakuna uchawi wala miujiza kwenye mpira tuache kujidangànya. Kishingo anampotezea muda, hana mbinu yoyote ya msingi na atawatia hasara huku mkijinadi kikosi kipana.

Kikosi kipana my foot!

Nashauri pia kuanzia Kishingo na Matola wote wakae kando; na kuweka benchi la uhakika likiongozwa na Mihayo.

Vinginevyo wapenzi wa SSC subirieni huzuni nyingine soonest kwenye Klabu Bingwa Africa; na Mo alivyo Immature; lazima mkonde maana this time atajitoa hadi uwekezaji.

Ukitizama mpira wa Simba na Yanga; ni dhahiri kishingo was blind technically na ndio sababu ya kufungwa.

Uchezaji wa Yanga ulikuwa very technically; hawakuwa na Mpango wa show game zisizo na tija; wachezaji walikuwa wanalinda; halafu ghafla wanahamisha mashumhulizi mbele;

ni kipindi hichi ndipo Mkude alikuwa anaelemewa Mpaka kufanya faulo iliyoleta Madhara, ni kipindi hichi Manula alikuwa akipata shida sana pale Golini, ni kipindi hicho Mo alikuwa hatulii kwenye kiti chake, ni kipindi hicho mashabiki wa SSC waliamini kwamba things are never easy, ni kipindi hicho mashbiki wa SSC walikuwa wakiomba japo watoke suluhu kutunza heshima mamluki.

Baada ya Mashambulizi kama hayo Yanga walikuwa wakirudi nyumba kutoa nafasi SSC wafanye show game zisizo na msingi wala kusababisha.

Hii ndio inaitwa akili ziada ya kocha ambayo kimsingi Kishingo ana miss that skill, na hakuweza kujua what was Yanga really doing throughout the Match; Kama hakuweza kustuka hili, honestly huyu sio kocha. But time will tell.

Nilisikitika sana Yanga kufunga Goli Moja; kulikuwa na uchochoro wa kufunga goli zaidi ya mbili; imeniuma, goli moja haikuwa hadhi ya Yanga kwa timu yenye uchochoro kama Simba.

mihayo8826401350419623922.jpg

Pamphile Mihayo
 
TP Mazembe with better players kashindwa kufikia malengo yao. Ataweza kufanya muujiza upi na average and old players wa Simba?

Kung'ara kwa Simba kwenye VPL ni kielelezo cha ubovu wa ligi yetu.
 
yaani mikia bado mna weweseka tuu na kipigooooo cha kunyorooshwa ile kisawasawa cha kidude kimoko toka kwa waume zenu Yanga??? poleni Sanaa!
 
Mihayo ni kocha mzuri sana mwenye msimamo, strategy na vision na technically he is absolute best.

Ni kocha ambae anaeweza kuja kufanya reform ya SSC ikawa timu bora kuliko kukomaa na hawa wazungu Uchwara.

Ni kocha ambaye anaweza akamuweka Manula kando, anaweza kumuweka Bocco, Chama kando kwa maana anapenda wachezaji wenye focus ya kuelekea mbele pasipo kupoteza mipira au ku-hold mipira pasipo na sababu ya msingi; hapendi show game, anapenda magoli zaidi.

Anaweza kuishauri Simba nani asajiliwe ili timu iwe na safu ya ulinzi itakayoweza kuleta tija na ushindani wa dhati. Hapendi kuingililiwa kwenye kazi au umbea wa kina Matola kuchongea Makocha wakigeni.

Kubwa zaidi ni kocha mwenye msimamo na asiyependa kuyumbishwa.

Kama Mo yupo serious, basi awekeze kwa huyu kocha; na aache ubahili. Hakuna uchawi wala miujiza kwenye mpira tuache kujidangànya. Kishingo anampotezea muda, hana mbinu yoyote ya msingi na atawatia hasara huku mkijinadi kikosi kipana.

Kikosi kipana my foot!

Nashauri pia kuanzia Kishingo na Matola wote wakae kando; na kuweka benchi la uhakika likiongozwa na Mihayo.

Vinginevyo wapenzi wa SSC subirieni huzuni nyingine soonest kwenye Klabu Bingwa Africa; na Mo alivyo Immature; lazima mkonde maana this time atajitoa hadi uwekezaji.

Ukitizama mpira wa Simba na Yanga; ni dhahiri kishingo was blind technically na ndio sababu ya kufungwa.

Uchezaji wa Yanga ulikuwa very technically; hawakuwa na Mpango wa show game zisizo na tija; wachezaji walikuwa wanalinda; halafu ghafla wanahamisha mashumhulizi mbele;

ni kipindi hichi ndipo Mkude alikuwa anaelemewa Mpaka kufanya faulo iliyoleta Madhara, ni kipindi hichi Manula alikuwa akipata shida sana pale Golini, ni kipindi hicho Mo alikuwa hatulii kwenye kiti chake, ni kipindi hicho mashabiki wa SSC waliamini kwamba things are never easy, ni kipindi hicho mashbiki wa SSC walikuwa wakiomba japo watoke suluhu kutunza heshima mamluki.

Baada ya Mashambulizi kama hayo Yanga walikuwa wakirudi nyumba kutoa nafasi SSC wafanye show game zisizo na msingi wala kusababisha.

Hii ndio inaitwa akili ziada ya kocha ambayo kimsingi Kishingo ana miss that skill, na hakuweza kujua what was Yanga really doing throughout the Match; Kama hakuweza kustuka hili, honestly huyu sio kocha. But time will tell.

Nilisikitika sana Yanga kufunga Goli Moja; kulikuwa na uchochoro wa kufunga goli zaidi ya mbili; imeniuma, goli moja haikuwa hadhi ya Yanga kwa timu yenye uchochoro kama Simba.

View attachment 1383130
Pamphile Mihayo
Hana lolote huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazembe Pamphile Mihayo ameiongoza TP Mazembe kwa mechi 33 tu kabla ya kutupiwa virago.

Kabla ya kupewa kocha alikuwa mchezaji wa TP Mazembe na baadae kuwa assistant manager wa Patricr Carteron, Hubert Veluid, Ndiaye na baadae Froger.

Amewahi pia kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Congo chini ya Florent Ibenge wakiwa pamoja na Mwinyi Zahera.

Kimsingi Kazembe Mihayo hana uzoefu wa kutosha sana kuongoza timu kubwa kama simba Achilia mbali TP mazembe ambayo alipata kazi kwa sababu ya kuwa legend wa timu toka akicheza alikuwa timu captain wa Mazembe.

Kimbinu na kiufundi siyo mzuri sana kama unavyojaribu kuonyesha hapa pamoja na kuwa timu kubwa kama TP Mazembe bado timu haijaonyesha maajabu yoyote katika michuano ya CAF.

Ukiniuliza mimi nani anafaa kuwa mbadala wa Sven Vandebroek pale simba chaguo Hubert Velud, Tom Sentift na Javier Aguire.

Hawa ndiyo makocha wenye soka linalofanana sana na falsafa ya Simba huku msaidizi wao akiwa Amri Saidi ambaye hapewi heshima yake kwenye ligi kuu ya licha ya kufanya makubwa katika timu zote ambazo ameziiongoza,

Ikumbukwe kuwa Amri Said amewahi kuwa Captain wa simba na mchezaji aliyecheza kwa mafanikio makubwa pamoja na yote kiufundi yuko juu ya msaidizi wetu wa sasa Matola.

Huyo Kazembe Miihayo anawafaa Yanga tu maana ndiyo wanaopenda kuajiri wakongomani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishingo mbona yuko vizuri tu mbinu zake ni za kisasa sana mashabiki maandazi kama wewe huwezi kuziona, subiri Simba wacheze na Al Ahly au Zamalek uone waarabu wanavyochapwa.

Kishingo anauzuri gani kwa kutizama Historia yake ya nyuma ?
 
Kazembe Pamphile Mihayo ameiongoza TP Mazembe kwa mechi 33 tu kabla ya kutupiwa virago.

Kabla ya kupewa kocha alikuwa mchezaji wa TP Mazembe na baadae kuwa assistant manager wa Patricr Carteron, Hubert Veluid, Ndiaye na baadae Froger.

Amewahi pia kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Congo chini ya Florent Ibenge wakiwa pamoja na Mwinyi Zahera.

Kimsingi Kazembe Mihayo hana uzoefu wa kutosha sana kuongoza timu kubwa kama simba Achilia mbali TP mazembe ambayo alipata kazi kwa sababu ya kuwa legend wa timu toka akicheza alikuwa timu captain wa Mazembe.

Kimbinu na kiufundi siyo mzuri sana kama unavyojaribu kuonyesha hapa pamoja na kuwa timu kubwa kama TP Mazembe bado timu haijaonyesha maajabu yoyote katika michuano ya CAF.

Ukiniuliza mimi nani anafaa kuwa mbadala wa Sven Vandebroek pale simba chaguo Hubert Velud, Tom Sentift na Javier Aguire.

Hawa ndiyo makocha wenye soka linalofanana sana na falsafa ya Simba huku msaidizi wao akiwa Amri Saidi ambaye hapewi heshima yake kwenye ligi kuu ya licha ya kufanya makubwa katika timu zote ambazo ameziiongoza,

Ikumbukwe kuwa Amri Said amewahi kuwa Captain wa simba na mchezaji aliyecheza kwa mafanikio makubwa pamoja na yote kiufundi yuko juu ya msaidizi wetu wa sasa Matola.

Huyo Kazembe Miihayo anawafaa Yanga tu maana ndiyo wanaopenda kuajiri wakongomani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana; hata Zidane alikuwa Legend.

Kushindwa kuipa Mazembe kombe la CAF haimaanishi ni Mmbaya. Kombe la CAF sio mchezo lina ushindani Mkubwa sana na Muda mwingine kulibeba huenda isizingatie ubora wa timu 100%.

Huyo kocha mzuri na ana mentality ya kisasa na anaweza akaiingiza Simba kwenye ulimwengu wa kimataifa ; lakini mujiandae kupiga chini wachezaji mizigo ambao mnawapenda kama Manula.
Kishingo atawatia hasara; ni useless
 
Kazembe Pamphile Mihayo ameiongoza TP Mazembe kwa mechi 33 tu kabla ya kutupiwa virago.

Kabla ya kupewa kocha alikuwa mchezaji wa TP Mazembe na baadae kuwa assistant manager wa Patricr Carteron, Hubert Veluid, Ndiaye na baadae Froger.

Amewahi pia kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Congo chini ya Florent Ibenge wakiwa pamoja na Mwinyi Zahera.

Kimsingi Kazembe Mihayo hana uzoefu wa kutosha sana kuongoza timu kubwa kama simba Achilia mbali TP mazembe ambayo alipata kazi kwa sababu ya kuwa legend wa timu toka akicheza alikuwa timu captain wa Mazembe.

Kimbinu na kiufundi siyo mzuri sana kama unavyojaribu kuonyesha hapa pamoja na kuwa timu kubwa kama TP Mazembe bado timu haijaonyesha maajabu yoyote katika michuano ya CAF.

Ukiniuliza mimi nani anafaa kuwa mbadala wa Sven Vandebroek pale simba chaguo Hubert Velud, Tom Sentift na Javier Aguire.

Hawa ndiyo makocha wenye soka linalofanana sana na falsafa ya Simba huku msaidizi wao akiwa Amri Saidi ambaye hapewi heshima yake kwenye ligi kuu ya licha ya kufanya makubwa katika timu zote ambazo ameziiongoza,

Ikumbukwe kuwa Amri Said amewahi kuwa Captain wa simba na mchezaji aliyecheza kwa mafanikio makubwa pamoja na yote kiufundi yuko juu ya msaidizi wetu wa sasa Matola.

Huyo Kazembe Miihayo anawafaa Yanga tu maana ndiyo wanaopenda kuajiri wakongomani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mihayo anaweza kuifaa Simba. Anao uwezo mkubwa. Mwaka jana kaiwezesha TP Mazembe kufika nusu fainali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika, wakatolewa kwa mbinde na mwaka huu kaifikisha TP Mazembe robo fainali wakiwa na kikosi kipya na baadhi ya wakongwe wachache.

Tatizo litakuja kama Mo anaweza kuhimili mshahara atakao hitaji, maana inaonekana Mo ni bahili.

Mihayo anaweza kuifikisha Simba mbali. Ni sawa na kusema Deo Kanda ni mchezaji gani bwana Mbona alikuwa anakaa bench kule Mazembe! Lakini Wote tunaona ubora wa Kanda. Huyu kocha kushindwa kuifikisha Mazembe Fainali haimaanishi ni mbovu. Ni mzuri na hata Simba mkimpata huyu Maana yake mnabahati.

He is very competent thousand times kwa Kishingo.

Simba huwa wananichekesha sana .

Wanasema wao wa kimataifa wakati Hata uhakika wa kuwa Qualified Kwenye Caf Preliminary stages hamjawa nao kwa Sababu hakuna hicho kikosi.

Ukweli mchungu hata Robo fainali mwaka jana ilikuwa bahati tu( haikuwa ubora wa timu.

Ndio maana the following year hamkufika kokote. The Devil was just on Simba’s side

Mfano kama Mazembe; ni lazima afike aidha Fainali au nusu au robo; hutokuja kusikia Mazembe katolewa Kwenye Makundi sio rahisi kabisa; na kwa kuheshimu ubora wao ndio maana Caf hawawaingizi Kwenye hatua za awali kabisa; wanaanzia Kwenye makundi.

Preliminary stages ni nyie underdog.

Chukueni Mkongo muoneshwe the other side of the dark; Mnakuwa na vishingo hao wasiokuwa na Quick plan.
 
Kazembe Pamphile Mihayo ameiongoza TP Mazembe kwa mechi 33 tu kabla ya kutupiwa virago.

Kabla ya kupewa kocha alikuwa mchezaji wa TP Mazembe na baadae kuwa assistant manager wa Patricr Carteron, Hubert Veluid, Ndiaye na baadae Froger.

Amewahi pia kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Congo chini ya Florent Ibenge wakiwa pamoja na Mwinyi Zahera.

Kimsingi Kazembe Mihayo hana uzoefu wa kutosha sana kuongoza timu kubwa kama simba Achilia mbali TP mazembe ambayo alipata kazi kwa sababu ya kuwa legend wa timu toka akicheza alikuwa timu captain wa Mazembe.

Kimbinu na kiufundi siyo mzuri sana kama unavyojaribu kuonyesha hapa pamoja na kuwa timu kubwa kama TP Mazembe bado timu haijaonyesha maajabu yoyote katika michuano ya CAF.

Ukiniuliza mimi nani anafaa kuwa mbadala wa Sven Vandebroek pale simba chaguo Hubert Velud, Tom Sentift na Javier Aguire.

Hawa ndiyo makocha wenye soka linalofanana sana na falsafa ya Simba huku msaidizi wao akiwa Amri Saidi ambaye hapewi heshima yake kwenye ligi kuu ya licha ya kufanya makubwa katika timu zote ambazo ameziiongoza,

Ikumbukwe kuwa Amri Said amewahi kuwa Captain wa simba na mchezaji aliyecheza kwa mafanikio makubwa pamoja na yote kiufundi yuko juu ya msaidizi wetu wa sasa Matola.

Huyo Kazembe Miihayo anawafaa Yanga tu maana ndiyo wanaopenda kuajiri wakongomani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani Simba haiwajui makocha wazuri?

wanawajua vizuri sana, tatizo mishahara, Mo mbahili, anataka kuchukua ubingwa wa Africa tukiwa na kocha asiye na experience yoyote ya kufundisha ngazi ya vilabu Africa!
huu ni utani.

Huyo kocha alieachwa Mazembe hana lolote, nimemfuatilia miaka miwili iliyopita nae mweupe tu, kama ile game ya marudiano na Mazembe pale Congo Simba tungekuwa na tactical discpiline kidogo tu, tungewatoa Mazembe pale kwao chini ya huyo kocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mihayo anaweza kuifaa Simba. Anao uwezo mkubwa. Mwaka jana kaiwezesha TP Mazembe kufika nusu fainali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika, wakatolewa kwa mbinde na mwaka huu kaifikisha TP Mazembe robo fainali wakiwa na kikosi kipya na baadhi ya wakongwe wachache.

Tatizo litakuja kama Mo anaweza kuhimili mshahara atakao hitaji, maana inaonekana Mo ni bahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa alikuwa anabebwa na uzuri wa wachezaji aliokuwa nao Mazembe kabla, wachezaji wa Mazembe wameshuka viwango, na huyo namba 9 wao wanaemtegemea kwasasa hana lolote, juzi wametolewa nyumbani kwao na timu ya Morroco kwa aggregate ya 2-1, huyo striker kakosa penalti, na nafasi moja ya wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom