Simba SC ifikirie kumchukua kocha aliyeachwa na TP Mazembe

Mihayo hajaachwa, ile ni timu ya familia na Mihayo ni ndugu wa Mose Katumbi..atakuwa kabadilishiwa majukumu au kaenda kujiendeleza kielim
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tangu samatta aondoke Tp mazembe imefloop clb bingwa, na hata huyo striker wao Jackson Muleka amekuwa anafunga sana ligi ya congo iila kimataifa naona kama hana bahati vile
 
tangu samatta aondoke Tp mazembe imefloop clb bingwa, na hata huyo striker wao Jackson Muleka amekuwa anafunga sana ligi ya congo iila kimataifa naona kama hana bahati vile
hii timu kama inasajili kina Singano na yule mchezaji mwingine ambaye hata kupangwa hapangwi unategemea itarudia mafanikio yake
 
Mihayo hajaachwa, ile ni timu ya familia na Mihayo ni ndugu wa Mose Katumbi..atakuwa kabadilishiwa majukumu au kaenda kujiendeleza kielim

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo kapangiwa Majukumu au kaenda kusoma. Umesoma lettre Officiel qu’ils ont donné semaine passé ?

Ou bien vous parlez seulement; pourquoi vous êtes comme ça Mec !! Il faut que vous réfléchir avant d’ écrit
 
Siku nyingine usiwe una copy na kupest,
Kwa Simba na yanga nani ana magoli mengi kumzidi mwenzake?
Nani anaongoza kwa points?
Shoots on target kwenye mechi ya yanga nani alikuwa na nyingi?
Msiwe mnakalili, huyo kocha wa TP Mazembe kwanini ametimuliwa?
Uje na majibu ya kutosha baada ya kuwauliza wanywa kahawa wenzio huko mabandani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pest ?????
 
MO ni mswahili afadhari hata Manji, huyu coach ni bonge la coach lkn kwa mazingira ya mpira wa Tanzania hataweza hapa kwetu makocha wanapangiwa kikosi , usajiri hawashirikishwi mambo mengi ya hovyo tupu, kwa kocha anae jielewa ni ngumu sana kufanya kazi na team za hapa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na hiyo ndio shida ya Simba: Halafu Mo hakupaswa kabisa kuingilia mambo ya timu.

Kwa kweli naanza kumuelewa Mzee Kilimoni.

Mo alitakiwa kujiweka zaidi upande wa uwekezaji sio kuingilia mambo ya Tachnical.

Kocha Mkuu yeye ndio Manager na ndio ana overview opérations zote za klabu na bajeti ya Usajili na aina ya Usajili yeye ndio ana propose.

Cha ajabu Mo yeye ndio anafanya haya mambo ; Kocha ana nafasi gani.?

Kwa Tabia hizi ni kweli hatowezana na Mihayo. Mihayo is a free 🦅 bird. He wants to make things on his own perspective and not being influenced by Top dogs.
 
Sawa bwana Mihayo tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…