kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Huu ndiyo upumbavu wa mashabiki wa simbaKwani Angola hatuna balozi? Balozi wa Tanzania yupo atakuwa mwenyeji No 1 pia simba ni club kubwa hizo figisu washauri yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndiyo upumbavu wa mashabiki wa simbaKwani Angola hatuna balozi? Balozi wa Tanzania yupo atakuwa mwenyeji No 1 pia simba ni club kubwa hizo figisu washauri yanga
Ni timu kubwa pekee ndio zinajua hizo figisu za ugenini, timu ndogo kama vyura aka vinyethi fc hamuwezi elewaEeeeeh KOLO mara hii ushaanza kuingiwa mchecheto?,we kila siku siunasema Simba ni kidume huko kimataifa,sasa huu uoga unatoka wapi?
Mamelody sundowns walifanyiwa zengwe Angola na ni timu ya Rais wa CAF ije kua huyo Barbara alie kwenye kamati ya mapishiKwani wao unadhani hawajasikia Babra ni nani sasa hivi huko CAF!?
By ELIUS KAMBILI
NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja.
Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Septemba 7-9, mwaka huu jijini Luanda. Ngoja nikupe stori sasa.
Historia ya karibuni ya klabu za Tanzania dhidi ya Clube Desportivo 1 de Agosto, ni tafrani za mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopangwa kuchezwa Februari 14, 2021.
Mchezo huo wa kufuzu hatua ya makundi msimu wa 2020-21, ulipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Novembro 11 uliopo Talatona, pembeni kidogo ya Luanda, Angola.
Kabla ya Namungo kuondoka Dar es Salaam, mchezaji wao mmoja akiwa kwenye ngazi za kupanda kwenye ndege aliwaambia viongozi kwamba hataki kuendelea na safari kwa madai kwamba roho yake inasita. Wakamtema akarudi zake nje, sisi tukaondoka.
NAMUNGO HAIKUGUSA MPIRA ANGOLA
Tukatua Luanda sasa. Chini ya Kocha Hemed Morocco wakati ule, Namungo FC ilifika kwa lengo la kufanya mazoezi ya siku mbili kisha kucheza dhidi ya Clube Desportivo 1 de Agosto.
Msafara ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Luanda, usiku wa manane, ulikutana na kigingi cha kipimo Uviko-19. Watu wanne kwa maana ya kiongozi mmoja na wachezaji watatu walikutwa na vimelea vya ugonjwa huo.
Wataalam wa afya waliovalia mavazi ya kijeshi ndiyo waliohusika na upimaji wa Uviko-19, na kwa mujibu wa kanuni za afya za Angola kwa wakati ule, wanne hao wakatakiwa kutengwa.
Pia ikatoka amri ya msafara mzima kwenda karantini, umbali wa kilomita zaidi ya 200 yaani umbali wa kutoka Dar es Salaam mpaka Morogoro. Msafara ulitumia saa zaidi ya tatu kufika huko.
Kumbuka msafara kabla ya haujaondoka Dar es Salaam wakati huo, watu wote walipimwa Uviko-19 na kuonekana hawana maambukizi.
Kasheshe ni kwamba hakuna mtu aliyekubali kushuka katika basi kuingia katika vyumba vilivyotengwa kama karantini ambako ingebidi wote wakae kwa siku saba.
SIMBA IJIANDAE
Kwa hali niliyoiona Luanda wakati ule ni muhimu Simba itazame haraka ratiba za ndege lakini kuwa kwenye mazingira salama zaidi ni bora kukodi ya kwao.
Bado kanuni za afya zinaweza kuigharimu Simba ukizingatia tahadhari ya Uviko-19 ikiwa bado ipo katika nchi nyingi za Afrika, hapo ndipo mahali penye umakini zaidi.
Timu ya Afya ya Simba inatakiwa kujiamini na kushirikiana kwa karibu na watu wa afya watakaokuwa wakipima kwenye uwanja wa ndege mara tu baada ya kuwasili Angola na hapa ni muhimu sana kutanguliza watu mapema na kuweka mazingira mazuri na Ubalozi wetu kwa lolote litakalotokea.
Timu nyingi za Afrika Kaskazini hufanya hivi zinapofika Tanzania na uhakika wa daktari katika kusimamia zoezi la upimaji hupunguza hujuma za wapinzani. Ingawa wenzetu wameweka mbele zaidi masilahi ya timu zao.
Clube Desportivo 1 de Agosto ni timu iliyoanzishwa Agosti Mosi, mwaka 1977 ikiwa sehemu ya Jeshi la Angola na inadhaminiwa na jeshi hilo. Inaendeshwa kiraia lakini kuna mikono ya jeshi katika utawala.
Labda wabadilike safari hii kwa kuhofia jina la Simba. Lakini umbali wa kutoka Luanda mpaka kutakapochezwa mechi ni mbali. Na hii hufanyika kimkakati kumdhohofisha mgeni.
Hakuna lolote la fitina.sema ukweli kuwa mna kocha ambaye kiwango chake cha kunoa timu kinatia shaka.hivyo tegemea haibu kuu kuipata Angola.By ELIUS KAMBILI

Sio kufungwa tuu bali ndo washatolewa mapema shap.Simba ijitahidi isifungwe goli zaidi ya mbili, maana kufungwa ni lazima.
Imani za ndumbanangaye hizo.timu haijazoea hata hali yahewa eti icheze na kutimkia home!Timu inaenda siku moja kabla ya mechi? Mo atuachie timu yetu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
waambie wasijejaribu hata kuugusa unywele wa mchezaji wa simba kwa lolote. heeee wajichanganye alafu Dar watakuja au hawatakuja??? simba ni next level babu, wanapopanga hayo yote wakumbuke hilo piaBy ELIUS KAMBILI