Simba Sc ijiandae na fitna nchini Angola

Eeeeeh KOLO mara hii ushaanza kuingiwa mchecheto?,we kila siku siunasema Simba ni kidume huko kimataifa,sasa huu uoga unatoka wapi?
Ni timu kubwa pekee ndio zinajua hizo figisu za ugenini, timu ndogo kama vyura aka vinyethi fc hamuwezi elewa
 
Timu inapoenda kucheza ugenini hugharamikia gharama ya usafiri tu labda na posho za wachezaji wake lkn gharama za ndani zinakuwa za timu mwenyeji.

Gharama za ndani ni pamoja na chakula, malazi na usafiri wa ndani.
 

Well said mzee[emoji419]
 
Simba kule wanatangulizwa si watu tu bali majabali yanayojua kila fitna.
 
So tu ijiandae na fitina bali ijiandae pia na kipigo kama ngoma🥁🥁
 
Hakuna lolote la fitina.sema ukweli kuwa mna kocha ambaye kiwango chake cha kunoa timu kinatia shaka.hivyo tegemea haibu kuu kuipata Angola.
 
waambie wasijejaribu hata kuugusa unywele wa mchezaji wa simba kwa lolote. heeee wajichanganye alafu Dar watakuja au hawatakuja??? simba ni next level babu, wanapopanga hayo yote wakumbuke hilo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…