MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League..
2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi kama walivyowahi kufanya Wapinzani wao Yanga SC kwa Misimu Miwili mfululizo hivyo wanatakiwa ( mnatakiwa ) kuwa Wavumilivu na Wapole pia.
3. Ikubali kuwa huenda Wachezaji wake wana Uchovu mkubwa ( Fatigue ) hasa baada ya kutumia Nguvu Kubwa katika Mechi za Ligi Kuu iliyomalizika ya VPL na Michuano ya Klabu Bingwa Afrika ( CAF CL )
4. Ikubali kuwa kwa sasa ndani ya Kikosi kuna Presha Kubwa na Wachezaji wake wanahitaji haraka msaada wa Kisaikolojia.
5. Ikubali kuwa kuwaacha ( tena Kuwatenga ) mpaka Kuwadharau Wazee ni sehemu pia ya Laana zao kwa Klabu kwani akina CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu wanawapuuza na hawataki kupokea Ushauri wao.
6. Ikubali kuwa Ligi Kuu ya Safari hii ( NBC Premier League ) ni Ngumu, ya Kiushindani na kila Timu inautaka Ubingwa ili izinyakue Shilingi Milioni 500 zilizotengwa.
7. Ikubali kuwa katika Mchezo ( hasa Soka ) kuna Matokeo makubwa Matatu tu ambayo ni Kushinda, kutoka Sare na Kufungwa ambayo kama Mwanamichezo unatakiwa Uyaheshimu.
8. Ikubali kuwa Wachezaji wao ( wake ) hawana Stamina ( Nguvu ) na wanacheza Kiulaini / Kinyoronyoro mno hali ambayo inawapa wakati Mgumu hasa Kiuchezaji pale wakikutana na Timu zenye Wachezaji Wagumu kama ya Prisons FC ya Mbeya, Ruvu Shooting FC na Namungo FC.