Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Akili ya kitumwa utaijua tu! Wanaochukua hicho kikombe wana miguu mitatu au??Habari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi ..
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Africa ,yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe ....
Uzi tayari
Mliokuwa mnaimba mapambio kwamba Simba haiwezi kufika hatua ya makundi naona mnabadili beti kila hatua. Mimi nasema endeleeni kuimba wimbo ule ule wa kutofika makundi, sio mkiona imefika makundi mnahamia haifiki robo, imefika robo mnahamia haichukui ubingwa. Endeleeni na ule wimbo wa kwanza kwamba haiingii makundiHabari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi ..
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Africa ,yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe ....
Huu ukweli wanasimba hawataki kuusikiaHabari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi ..
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Africa ,yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe ....
Uzi tayari
Huu ukweli ungesemwa na Mamelodi Sundowns au Esperance de Tunis, walau tungeusikia. Lakini sio utoke kwa Yanga au Vita, timu ambazo zipo chini yetu kwa mbaali, hatuwezi kuwasikiliza wapuuziHuu ukweli wanasimba hawataki kuusikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda ni mwalimu mzuriHuu ukweli ungesemwa na Mamelodi Sundowns au Esperance de Tunis, walau tungeusikia. Lakini sio utoke kwa Yanga au Vita, timu ambazo zipo chini yetu kwa mbaali, hatuwezi kuwasikiliza wapuuzi
Mi nadhani kama upo Dar ungetembea uchi kuanzia msimbazi hadi Kimara Suka ingependeza zaidiYaani Simba hii hii inayotolewa kamasi uwanjani na Prisons na Ruvu Shootings ndiyo ichukue Ubingwa wa Afrika!
Ikifanikiwa kutwaa huo Ubingwa, haki ya nani nitaenda kuchukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama wao mtiifu! 😇
Umeihama utopoloMtanisamehe wana simba....
Wydad Casablanca my favourite team..
Wydad Casablanca or Al ahly, kati yao anaondoka na ndoo mazima...
Wydad oyeee [emoji91][emoji91][emoji91]