DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Wewe nani?Habari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.
Uzi tayari
Comment tayari.