Wewe nani?Habari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.
Uzi tayari
Ukisema Simba haiwezi kuchukua ubigwa wa Afrika eti kisa haina nyota, ninakua na mashaka na uwezo wako wa kufikiri. Kitaaluma hakuna kitu kinachoitwa nyota, neno nyota limekaa kiimani zaidi na ni hoja dhaifu kuitumia unapotoa hukumu kwenye mambo yaliyokaa kitaaluma zaidi kama haya.Habari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.
Uzi tayari
Na mimi nikuambie tu kuwa, anza kuandaa nauli ya kwenda kuichukua hiyo kadi yako..Yaani Simba hii hii inayotolewa kamasi uwanjani na Prisons na Ruvu Shootings ndiyo ichukue Ubingwa wa Afrika!
Ikifanikiwa kutwaa huo Ubingwa, haki ya nani nitaenda kuchukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama wao mtiifu! 😇
UmekaririMtanisamehe wana simba....
Wydad Casablanca my favourite team..
Wydad Casablanca or Al ahly, kati yao anaondoka na ndoo mazima...
Wydad oyeee [emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu bila Shaka wewe kwenye ukoo wenu Kuna damu ya CCMYaani Simba hii hii inayotolewa kamasi uwanjani na Prisons na Ruvu Shootings ndiyo ichukue Ubingwa wa Afrika!
Ikifanikiwa kutwaa huo Ubingwa, haki ya nani nitaenda kuchukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama wao mtiifu! 😇
Hakuna aliyesema hivyo lengo letu ni kufika nusu fainaliHabari
Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.
Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.
Uzi tayari
We kajamaa kipindi nimejiunga JF nlikua nadhani una akili coz ulikua unapenda kureply kila uzi mpaka ukala ban. Ila nlipoanza kukufuatilia nkagundua huna maajabu upo upo tu.Huu ukweli wanasimba hawataki kuusikia
Whatever you say, it has nothing to do w/m..We kajamaa kipindi nimejiunga JF nlikua nadhani una akili coz ulikua unapenda kureply kila uzi mpaka ukala ban. Ila nlipoanza kukufuatilia nkagundua huna maajabu upo upo tu.
Utajipa maradhi makubwa makubwa bila sababu ya msingi.Yaani Simba hii hii inayotolewa kamasi uwanjani na Prisons na Ruvu Shootings ndiyo ichukue Ubingwa wa Afrika!
Ikifanikiwa kutwaa huo Ubingwa, haki ya nani nitaenda kuchukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama wao mtiifu! [emoji56]
Hii al ahl ya pisto motosiyomane imeshuka sana kiuwezo baada ya huyo mtegemea tunguri wa SA kuanza kuifundisha. Simba akishinda Cairo anaweza kwenda fainali.Mtanisamehe wana simba....
Wydad Casablanca my favourite team..
Wydad Casablanca or Al ahly, kati yao anaondoka na ndoo mazima...
Wydad oyeee 🔥🔥🔥