Simba SC ilifanya makusudi kutokupata Matokeo mbele ya Azam na Namungo kusababisha mpaka kukosa ubingwa wa FA na NBC?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimepata mashaka sana kutokana na morali waliyoionesha leo dhidi ya Polisi Tanzania na kuibuka na ushindi wa magoli sita (6).

Sasa kwa nini hatukuona Spirit Kama hii walivyocheza na Namungo?

Kwa nini hatukuona morali na magoli Kama haya walipocheza na Azam Fc tena mchezo muhimu (nusu fainali) ambapo ingepata hata kombe la kufutia machozi?

Je, tukisema Simba imetumia bahasha ili timu iruhusu magoli mengi kwa mchezaji mmoja ili wapate kombe la ufungaji bora wawafariji mashabiki nitakua nimekosea?

Wadanganyeni wajinga na mashabiki wenu wenye huzuni kama wafiwa Ila kwa NALIA NGWENA the great thinker mmegonga mwamba.
 
NTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
kazi muhimu inayohusu ligi tushamaliza lkn pia tukitaka na hicho kiatu kisiende kokote tunaweza bahati mbaya kwenu imebaki mechi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…