NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimepata mashaka sana kutokana na morali waliyoionesha leo dhidi ya Polisi Tanzania na kuibuka na ushindi wa magoli sita (6).
Sasa kwa nini hatukuona Spirit Kama hii walivyocheza na Namungo?
Kwa nini hatukuona morali na magoli Kama haya walipocheza na Azam Fc tena mchezo muhimu (nusu fainali) ambapo ingepata hata kombe la kufutia machozi?
Je, tukisema Simba imetumia bahasha ili timu iruhusu magoli mengi kwa mchezaji mmoja ili wapate kombe la ufungaji bora wawafariji mashabiki nitakua nimekosea?
Wadanganyeni wajinga na mashabiki wenu wenye huzuni kama wafiwa Ila kwa NALIA NGWENA the great thinker mmegonga mwamba.