Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr, kina kanoute n.k (hapa mashabiki maandazi na mashabiki wa ile timu inayorukaga mageti ili ipate access ya kuingia na majini uwanjani hamna nafasi maana hamtaelewa ninachokiandika).

Nimeilinganisha simba hii na simba zilizopita niseme tu wazi kuwa simba hii ni hatari kuliko ile iliyokua na kina francis kahata mbele akichezwa pacha ya meddie kagere na john rafael bocco.

Tukutane siku ya kusherehekea ubingwa wa NBC na kombe la shirikisho.

ANGALIZO:
Mashabiki halisi wa Simba punguzeni kuikosoa timu kabla hata ya ligi kuanza make mnawapa content mashabiki wa nyuma mwiko na wachambuzi uchwara.

Simba Nguvu Moja (SNM).
 
Na game ambayo Simba Sc itaonesha ukubwa wake ni ile ikikutana na Azam FC ,yaani nahakika itatembeza kichapo japo wengi watanibishia kwa kuangalia game izi chache tu
 
Screenshot_20240812-000158~2.png
 
Mbona kama kuna hofu tena!! Si tulikubaliana mwaka huu tutarejesha vikombe vyote Msimbazi, kutokana na usajili mkubwa tulioufanya!
 
Back
Top Bottom