kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Mar 3, 2024 #1 Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya. Nini kifanyike? Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa hakikisheni mnamchukua Feisal Salum naamini ataleta tiba ya dimba la juu hapo Msimbazi. Fred na Jobe waendelee kuwa chini ya uangalizi. Mkiufanyia kazi huo ushauri mtanishukuru.
Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya. Nini kifanyike? Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa hakikisheni mnamchukua Feisal Salum naamini ataleta tiba ya dimba la juu hapo Msimbazi. Fred na Jobe waendelee kuwa chini ya uangalizi. Mkiufanyia kazi huo ushauri mtanishukuru.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 3, 2024 #2 Rally bwalya nilikua nampenda sana huyu kiumbe, hata nje ya uchezaji/uwanjani, alinivutia sanaa. Ni crush wangu haswaa.
Rally bwalya nilikua nampenda sana huyu kiumbe, hata nje ya uchezaji/uwanjani, alinivutia sanaa. Ni crush wangu haswaa.