kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya.
Nini kifanyike?
Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa hakikisheni mnamchukua Feisal Salum naamini ataleta tiba ya dimba la juu hapo Msimbazi.
Fred na Jobe waendelee kuwa chini ya uangalizi.
Mkiufanyia kazi huo ushauri mtanishukuru.