NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuna za chini chini Zina vuma kuwa huu mtego wa Al ahly utamuondoa sambaroketo boy.
Alitafutwa kwenye gemu ya power dynamo akawa ameutegeua huo mtego kwa kudroo ikawa pona yake Sasa viongozi wa Ayubu FC wamemtegea kumnasa kwenye gemu ya Al ahly.
NALIA NGWENA nawaambia wazi wazi viongozi wa Ayubu FC Kama mtamfukuza sambaroketo Basi msiwaache wachezaji wazee Kama saidoo ntibazonkiza, na mchezaji pendwa mwenye speed ya Konokono Nk. kwani Hawa hawawezi kupambana kimataifa na Vijana wadogo wenye speed ya 5G.
Tukutane kwa mkapa.