Simba SC itashinda mechi ya Leo

Nina wasiwasi sana na mapenzi ya Cadena kwa Ayoub mdaka panzi na Saidoo. Hao jamaa wakianza Simba watakuwa na wakati mgumu sana uwanjani kwenye mchezo wa leo. Simba ijifunze kwa waarabu waliowafunga Yanga jana kwani wana mchezaji ana miaka zaidi ya 38 anaitwa Gurdiola pamoja na uzoefu na ubora wake lakini kapewa dakika 15 tu mchezoni.
 
Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya.

Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
Ulishawahi sikia msemo 'juhudi na maarifa'!?
 
Guardiola huyu alikuwa akicheza Serie A ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…