Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

Hunaga hoja kiwango chako Cha mwisho cha kufikiri ni matusi,ndo yanajulisha kwamba ni tahira flani lisilo na mbele wala nyuma
Wewe Utahaira huo ulionao ulipona lini?
 
Shenzi kabisaa ww mbumbumbu..unaamn uchawii kwenye mpira! Pumbavu kabisaa..ungekuwa karibu yangu ningekuzaba vibao vikali sana.
Hakuna uchawi kwenye mpira..mpira ni pesa, mpira ni darasa..
Kama kuna uchawi kwa nn msiende kuchukua club bingwaaa baas africa.
Washenzi wachache kama nyie ndo mnarudisha nyuma soka la tanzania na hata maendelea kwa kuamn upumbavuu wa aina kama hiyo..
Narudia tena..ww ni mpumbavuu kabisaa..
 
Unamuuza chama na luis unasajili watoto wadogo ambao hata miguu yao ukiiangalia haina uwezo wa kutuliza mpira..nazan huo ndo uchawii..
 
Mpira ni sayansi hayo mambo yamepitwa na wakati sasa
 
Hunaga hoja kiwango chako Cha mwisho cha kufikiri ni matusi,ndo yanajulisha kwamba ni tahira flani lisilo na mbele wala nyuma
Nimeishasema na naendelea kuthibitisha kuwa huyu mlopokaji Ni full Insane, tafadhari Milembe wamwandalie nafasi haraka Sana kabla hajaleta madhara.
 
Dah! Kwa uliyoyaandika!!?? Mkude ajichek...huenda akatolewa kafara,, Sijui mtoto wake alikuwa vipi?!! Muhindi na Makafara hii timu ndio basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…