Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #21
Kabisa mkuuLuis Miquissone afadhali ameachwa.
Wataanzia wapi.Wana Nkurukumbi toboa tundu la mikia kama kawaida yako
John Rafael Bocco kwa mkwaju wa Penalty
Daar Jana goli liliingia, likakataliwa.Mbeleko sana dawa yenu Nov 7
Mkuuu n hatariWoyoooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watajua hawajui, kipigo cha mwana ukomeSisi sio kama hao bata maji wa jangwani,eti wanatunza wachezaji wa jmosi. Utafikiri timu ya kijiji. Point 2 loss na jmosi tuwanyonya chuchu