Simba SC - Kagera Sugar FC, Uwanja wa Uhuru

Kwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo

For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga alias Utopolo
 
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga
Bila mbeleko hata hizo chache msingepata
 
Kwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo

For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga
Mbav sana, Ila we jamaa.
 
Kwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo

For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga alias Utopolo
Sure mkuu tunawasubiri kwa hamu hawa mbeleko fc wale kipigo cha mbwa koko.
 
Kipa akiwa kakolanya tunafungwa sio chini ya Holi mbili. Kwa jinsi nilivyomuona mechi hizi tatu anamakosa makubwa Sana, hachezi krosi Wala Kona, pia anatema sana
 
Kagera saizi yao ni vyura....,

Simba taifa kubwa, wakimataifa tunasubiri league ya mabingwa ianze,...ndo anga zetu hizo..

Huku tunasubiri kuchukua ubingwa...ngoja hawa madogo warukeruke lakini bingwa anajulikana ni MNYAMA
Kama naliona domo lako linavopayuka payuka tu, eti tunasubiri ligi ya mabingwa wakati jkt tu imekushinda?? Au umemis kugongwa 5?
 
Sure mkuu tunawasubiri kwa hamu hawa mbeleko fc wale kipigo cha mbwa koko.
Timu zote mbili ni mbeleko fc tu. Hata Simba goli la kwanza ni penati ya kupewa.
 
Back
Top Bottom