Sure,kipa wao kajitahidi hata hivyoBado bao 2
Bila mbeleko hata hizo chache msingepataKwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo
For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga
Acha kisununu mkuu.Bila mbeleko hata hizo chache msingepata
Mbav sana, Ila we jamaa.Kwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo
For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga
Nguvu mojaFT
Simba SC
2 - 0
Kagera Sugar FC
Magoli
-J R BoccO. 43', Penalty.
-S H NdemlA. 45'+5'.
Leo M Mexime alikuwa anachekacheka tu.Nguvu moja
Sure mkuu tunawasubiri kwa hamu hawa mbeleko fc wale kipigo cha mbwa koko.Kwa niaba ya uongozi wa Simba na Bodi ya wakurugenzi ninaomba radhi mashabiki wa Simba kwa kufunga goli chache.
Sasa tutazilipa rasmi jumamosi tumeweka kiporo
For english audience
On behalf of the board of directors I apologize to Simba fans for scoring few goals. We promise to bomb Yanga on saturday,get prepared to collect ashes of deceased Yanga alias Utopolo
Kipa akiwa kakolanya tunafungwa sio chini ya Holi mbili. Kwa jinsi nilivyomuona mechi hizi tatu anamakosa makubwa Sana, hachezi krosi Wala Kona, pia anatema sanaSure mkuu tunawasubiri kwa hamu hawa mbeleko fc wale kipigo cha mbwa koko.
Kama naliona domo lako linavopayuka payuka tu, eti tunasubiri ligi ya mabingwa wakati jkt tu imekushinda?? Au umemis kugongwa 5?Kagera saizi yao ni vyura....,
Simba taifa kubwa, wakimataifa tunasubiri league ya mabingwa ianze,...ndo anga zetu hizo..
Huku tunasubiri kuchukua ubingwa...ngoja hawa madogo warukeruke lakini bingwa anajulikana ni MNYAMA
Timu zote mbili ni mbeleko fc tu. Hata Simba goli la kwanza ni penati ya kupewa.Sure mkuu tunawasubiri kwa hamu hawa mbeleko fc wale kipigo cha mbwa koko.
Uto kama uto...,,acha wivu mkuu.Kama naliona domo lako linavopayuka payuka tu, eti tunasubiri ligi ya mabingwa wakati jkt tu imekushinda?? Au umemis kugongwa 5?
Mtani naona walau mmesogea pale mlipopazowea. π
Dadaaa. πππMungu mkubwa tukutane kwa mkapa