Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Nov 5, 2020 #61 Shunie said: Mungu mkubwa tukutane kwa mkapa Click to expand... Mmekumiiss hadi basi ndugu. Haya tukutane jumamosi kwa Mkapa.
Shunie said: Mungu mkubwa tukutane kwa mkapa Click to expand... Mmekumiiss hadi basi ndugu. Haya tukutane jumamosi kwa Mkapa.
Da Gladiator JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 1,641 Reaction score 2,646 Nov 5, 2020 Thread starter #62 WAIKORU said: Uto kama uto...,,acha wivu mkuu. Pambana angalau mje mmalize nafasi ya pili mkashiriki confederation Click to expand... Ha ha ha h,
WAIKORU said: Uto kama uto...,,acha wivu mkuu. Pambana angalau mje mmalize nafasi ya pili mkashiriki confederation Click to expand... Ha ha ha h,
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Nov 5, 2020 #63 Jana wachezaji wa mikia walionyesha wamechoka sana..waambieni waache kuangalia pilau na kupiga puchu..Kisinda na Tonombe watawapasua mapafu
Jana wachezaji wa mikia walionyesha wamechoka sana..waambieni waache kuangalia pilau na kupiga puchu..Kisinda na Tonombe watawapasua mapafu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Nov 5, 2020 #64 Shadeeya said: Dadaaa. [emoji23][emoji23][emoji23] Eti Mungu Mkubwa. LOL. Hata nyie Dada ni wa kusema hivi kweli. [emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada niache hapo nilikuwa nashusha pumzi za kutosha eti
Shadeeya said: Dadaaa. [emoji23][emoji23][emoji23] Eti Mungu Mkubwa. LOL. Hata nyie Dada ni wa kusema hivi kweli. [emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada niache hapo nilikuwa nashusha pumzi za kutosha eti
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Nov 5, 2020 #65 Shadeeya said: Mmekumiiss hadi basi ndugu. Haya tukutane jumamosi kwa Mkapa. Click to expand... [emoji8][emoji8][emoji8] Nimekumiss pia dear uzee huu tunaingia jf kwa kunyapia nyapia
Shadeeya said: Mmekumiiss hadi basi ndugu. Haya tukutane jumamosi kwa Mkapa. Click to expand... [emoji8][emoji8][emoji8] Nimekumiss pia dear uzee huu tunaingia jf kwa kunyapia nyapia