Simba Sc.kikundi kipya cha ushangiliaji

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,915
Reaction score
5,233
Kweli dunia inaenda kasi simba sc kutoka kuwa mabingwa Africa mashariki mpaka kuwa kikundi maarufu cha ushangiliaji.
 
Aaaaaa. Anyway Sina million Saba, Lakini nina raha Sana wa kimataifa mechi mbili pointi SUFURIIIIIIIIIII.....
 
Kweli dunia inaenda kasi simba sc kutoka kuwa mabingwa Africa mashariki mpaka kuwa kikundi maarufu cha ushangiliaji.
Hii dunia kweli inakimbia sana.... Yanga kutoka kuwa klabu ya mpira imekuwa kikundi cha ugawaji mabao.

Kampa mwarabu kampa tena mkongomani....
 
Aba BA Tz bamebadilika sana. Mara ya kumwisho tulikujaga tukabapiga matatu kwa likalai. Bakalogota bila tabu kunyavu, Lakini aba ba leo bagumu kwa ndani ya uwanja. Ni mungu anasaidia basisi tunabahatishaga kamoko

Bale ba zamani benyewe navaaga nguo kama chupi ya banabake baluoko kwa mwezi tulibatwangaga matatu bakafa kabisa.

*ALISIKIKA MKONGOMAN MMOJA AKITAMKA MANENO HAYA*
 
Yanga!!!!!!
Mechi 2 point SUFURI
Mhhhh, Aibuuuuuuuuuuuuu
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…