Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dunia kweli inakimbia sana.... Yanga kutoka kuwa klabu ya mpira imekuwa kikundi cha ugawaji mabao.Kweli dunia inaenda kasi simba sc kutoka kuwa mabingwa Africa mashariki mpaka kuwa kikundi maarufu cha ushangiliaji.
Yanga!!!!!!Aba BA Tz bamebadilika sana. Mara ya kumwisho tulikujaga tukabapiga matatu kwa likalai. Bakalogota bila tabu kunyavu, Lakini aba ba leo bagumu kwa ndani ya uwanja. Ni mungu anasaidia basisi tunabahatishaga kamoko
Bale ba zamani benyewe navaaga nguo kama chupi ya banabake baluoko kwa mwezi tulibatwangaga matatu bakafa kabisa.
*ALISIKIKA MKONGOMAN MMOJA AKITAMKA MANENO HAYA*
Yanga!!!!!!
Mechi 2 point SUFURI
Mhhhh, Aibuuuuuuuuuuuuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Aba BA Tz bamebadilika sana. Mara ya kumwisho tulikujaga tukabapiga matatu kwa likalai. Bakalogota bila tabu kunyavu, Lakini aba ba leo bagumu kwa ndani ya uwanja. Ni mungu anasaidia basisi tunabahatishaga kamoko
Bale ba zamani benyewe navaaga nguo kama chupi ya banabake baluoko kwa mwezi tulibatwangaga matatu bakafa kabisa.
*ALISIKIKA MKONGOMAN MMOJA AKITAMKA MANENO HAYA*