mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
- Thread starter
- #21
Kichuya nichakulialia tu yule akishinda analia piaKama hawajalipwa mbona wamesikitika ...Kichuya kalia kabisa baada ya mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichuya nichakulialia tu yule akishinda analia piaKama hawajalipwa mbona wamesikitika ...Kichuya kalia kabisa baada ya mechi
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Halafu eti hawa ndio walitaka tuzo ya mchezaji bora atoke kwao.
Tuzo itabaki kwa Yanga milele,
Simba wazee wa ushindi wa upepo mtaishia kuwaona akina Msuva wakibeba tuzo.
Waje tu mkuu tunawakaribisha wa kimataifa, Yanga daima mbele nyuma mwikoWatoroke waje kwa wakimataifa
Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. LolMbona mapema hivi aisee. Mooo hajatoa mshiko au?
Balaa tupu.Mo kapokonywa timu na BMT... Hivyo kaamua aipotezee hiyo klabu kwanza. Lol