Simba SC, Kipigo kitakatifu kinaweza kujirudia tena kwa Mkapa

Simba SC, Kipigo kitakatifu kinaweza kujirudia tena kwa Mkapa

Habari.

Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza kuwepo akiwa na maana kipigo kile kile walichokipokea FNB stadium cha bao nne kinaweza kujirudia tena hapa hapa bongo"

Hapo awali aliwahi kusema kwa safu ya ulinzi wa Simba Sc ilivyokuwa mbovu basi Simba Sc hawatofika mbali kwenye haya mashindano.

Naungana na Jeff Lea kwa kauli yake ya Remix kujirudia tena kwa Mkapakapa stadium maana ni ngumu sana kubadili timu kwa kipindi kifupi naamna hiyo.

Wewe una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Jeff Lea juu ya kipigo kitakatifu tena kukishuhudia kwenye ardhi ya kwetu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
Kwa jinsi safu ya simba ilivyo mbovu basi simba haiwezi fika mbali, MOTHERFUCKERZ, robo fainali ni karibu? Mechi ilizocheza simba toka awali mpaka sasa na mechi zilizobaki, zilizobaki ni chache zaidi mpaka kuchukua kombe alafu a fag anasema hawafiki mbali...
 
Mimi ni mpenzi wa Simba lakini kwa uchezaji ule wa Simba,hatuwezi kupindua meza.
Kama ni ushindi tutapata wa goli labda 2-1.

Sina hamu hata ya kuangalia mechi leo.
Hutaki tena kuangalia Pira Biriani!😬😬
 
Back
Top Bottom