Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ins52160607660_18b36ec9cadb492eb91fb7bdc4bf1105_361744619_980725283353550_5992560171774580472_n.jpg

Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.

Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
 
Leo NIMEAMINI kuwa Simba ni timu kubwa Sana ...
Kumuamini mleta thread bila kuweka source na link inaonesha wewe ndio utakuwa na tatizo la akili kuliko yeye.

Sindano za Jana kwa Mkapa ndio mnaweweseka kiasi hiki? Sasa mkichapwa nyinyi kwenye ngao ya jamii itakuwaje?
 
Back
Top Bottom