Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, anatarajia kucheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Bandari FC, kutoka nchini Kenya, Mashujaa United ya Kigoma na Black Eagles FC kutoka Burundi, kabla ya kuendelea na ligi kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL.
Simba SC, itaanza kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi Bandari FC, Oktoba 12, 2019 kwenye Uwanja wa Taifa, kisha klabu ya Simba SC itaondoka kuelekea Kigoma kuwafuata Mashujaa United na kucheza nao mchezo Oktoba 14, 2019 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika.
Simba SC, itamaliza ziara yake ya mechi za kujipima nguvu kwa kuingia tena dimbani Oktoba 16, 2019 kupepetana na Black Eagles ya Burundi kwenye Uwanja huo huo Lake Tanganyika.
•••Usikose Ukaambiwa..Simba SC yenye kusakata kandanda safi lenye viwango wa Shirikisho la soka Afrika CAF [/b]
Simba SC, itaanza kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi Bandari FC, Oktoba 12, 2019 kwenye Uwanja wa Taifa, kisha klabu ya Simba SC itaondoka kuelekea Kigoma kuwafuata Mashujaa United na kucheza nao mchezo Oktoba 14, 2019 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika.
Simba SC, itamaliza ziara yake ya mechi za kujipima nguvu kwa kuingia tena dimbani Oktoba 16, 2019 kupepetana na Black Eagles ya Burundi kwenye Uwanja huo huo Lake Tanganyika.
•••Usikose Ukaambiwa..Simba SC yenye kusakata kandanda safi lenye viwango wa Shirikisho la soka Afrika CAF